Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Jeshi la polisi limefunga mitaa ya katikati ya jiji la Dar es Salaam kutokana na mapigano makali kati ya kundi la vijana waliokuwa wakipinga kubomolewa kwa nyumba na waliodai kuwa na hatimiliki ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari nilizozisikia jana Usiku Kundi la watu wenye silaha kuvamia Nyumba Mbezi Goba bila kuiba chochote..Eneo hilo halina Kituo cha Polisi Hii imenipa Mawazo Mengi baada ya kundi la watu wenye...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Je? Sheria ya hapa Nchini inasemaje kuhusu raia wa kigeni aliyefika hapa Nchini na hakupata uraia bali ana pass ya kusafiria, Anaweza akanunua makazi yoyote ikawa mali yake? Tuseme anataka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
OPENING a four-day training for prosecutors and police officers in Dar es Salaam, the Director of Public Prosecution (DPP), Dr Eliezer Feleshi, expressed concern over the ever-rising cases of...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Kugomea sensa ni kutokuwa na elimu ya kutosha? Mimi ningependekeza hao viongozi wa hili swala zima wachunguzwe kiwango chao cha elimu na kiwango chao cha uelewa. Ni aibu kwa kwarne tuliyo nayo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni toka jana ndani ya jiji la Mwanza kuna watu wakishirikiana na Polisi wanazunguka wakidai wanashika wahujumu kazi za wasanii. Mambo yanayowafanya watu waamini kuwa ni matapeli: #Wakiojiwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mlevi akiua hafungwi? Kisa ameua bila kukusudia?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF naombeni mawazo yenu juu ya chaguzi za marudio. Kwa mujibu wa katiba ya sasa na sheria ya uchaguzi iliyopo , pindi ubunge unapobatilishwa na mahakama kama ilivyo kuwa arusha mjini na sasa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika tathmini ya takribani miaka mitatu,kituo kikuu cha polisi ARUSHA MJINI kimekuwa kikiiba mali za Raia,kumekuwa na matukio ya fedha kuibiwa ndani ya kituo kwa mfano Fedha za KIBO PALACE.Siyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni baada ya mlolongo mrefu wa kesi kwamba uchaguzi mdogo wa igunga haukuwa wa huru na haki, ndipo hayawihayawi yawa dk kapigwa chini kwahy tunasubiri uchaguz mdogo tupate jembe la chadema peoples...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf, naomba kuuliza hivi inawezekana kwa mtanzania kumiliki hisa katika masoko ya hisa nje ya mipaka yake? tuanzie hapo halafu nitauliza zaidi
0 Reactions
0 Replies
943 Views
wadau ni lini jeshi hili POLISI litarejeshwa kwa wananchi ambao ndiyo waajili wao kupitia idara ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao ili nalo lipate heshima? Likaondokana na hii sura ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna wahindi wengi sana ambao ni wahamiaji haramu ambao wako hapa nchini.... na Asilimia kubwa wako kwenye viwanda na makampuni ya wahindi. Pindi mnapokuja kuwa kagua wengine hujificha hadi kwenye...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika hali isiyokua ya kawaida baadhi ya watendaji wa serikali wamewalazimisha waaislam kuhudhuria semina za sensa na uku wakijua ni sikukuu kwao na pia niwajibu ktk imani yao kuhudhuria ibada ya...
1 Reactions
65 Replies
5K Views
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema kuwa linaandaa utaratibu wa kupiga mnada nyumba za watu na kampuni kubwa binafsi ambazo wamiliki wake ni wadaiwa sugu wa shirika hilo. Shirika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar anaongea live sasahivi kuwa hakutakuwa na kipengele cha dini katika sensa na kuna kikundi kidogo cha mashehe kinawapotosha waislam safi kwa maslah yake binafsi hivyo...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
wana jf natafuta msaada wa kisheria jinsi ya kuishtaki mtandao wa tigo,wamezidi kuniibia(over charge) ni mwaka wa 3.5 sasa sina hamu nao kabisa.Nataka wanilipe fidia inatisha sana. Nawakilisha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jioni hii Waziri Mkuu ametamka bungeni ya kuwa Kama wabunge walio wengi wamepinga miaka(8) ya magari yanayoingia nchini,basi SERIKALI haitakuwa na kigugumizi kurudisha ile miaka (10) ya awali...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu wadau naomba mnishauri nina kesi ya madai ya milioni 10. Je wakili anayenisimamia nitamlipa shilingi ngapi? Au kuna malipo fixed yasiyojali madai ni ya kiasi gani? Naomba kuelimishwa.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Suala la afya liwe ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Serikali iwe responsible na aina ya huduma za afya wanazopewa wananchi wake. Hii ina maana kwamba huduma zitakazotolewa na kituo/hospitali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…