Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
mdai (baba) ameshinda mahakama ya mwanzo ya kuishi na mtoto (wa miaka 7), mdaiwa ameenda ofisi za ustawi wa jamii ('kukata rufaa') kwamba haridhiki na uamuzi huo na anataka apewe haki ya kuishi na...
Nimesikia katika taarifa kwenye radio kiongozi wa CWT anazungumza kuwa'tulipenda pia kuonyesha serikali na sisi(CWT) tunaweza kudai maslahi yetu kwa njia ya mgomo.' Mi sijaona tija yoyote kwa huu...
Kwa wale ambao masuala haya yametuathiri kwa kiasi kikubwa, wale wenye mikataba ya ajira kwa vipindi maalum. Je bado kuna haja ya kuunga mkono CCM na Serikali yake?
Mimi siungi mkono hata...
BALOZI wa Uholanzi nchini, alipotmbelea gazeti la MwanaHALISI na kukutana na uongozi wa gazeti hilo, Saed Kubenea Mhariri Mtendaji na Jabir Idrissa, Mhariri mkuu wa gazeti hilo.
Wakati huo...
Jamani naombeni msaada wa haraka,nilienda kutoa pesa kwenye ATM ya CRDB na palikuwa na mtu ambaye alinielekeza mambo flani,na huyu mtu aliona namba yangu ya siri,je ataweza kuniibia kwa namna...
kuhusu mgomo wa walimu kiukweli ccm wanatupeleka vibaya na wanatumia siasa katika mambo yasioitaji siasa, Maana walimu wetu ndio wanaowatengeneza wao wawe katika nafasi zao. kama Raisi wa nchi...
Wa Tanzania kwa kupenda kujichukulia sheria mikononi mwao ahhh nchi hata wananchi nao Wamechoka na utawala wao utafikiri nchi hii Polisi hakuna? Polisi wanakuja baada ya tukio limeshakwisha mtu...
Je ni sheria gani inayotoa mamlaka kwa mahakama kutoa adhabu ya kifungo kwa mtu aliyekataa kuhesabiwa sensa kama mkuu mmoja wa wilaya alivyosema kwa kuonya raia kutosusia zoezi la kuhesabu watu?
Wadau naomba kujuzwa, hivi hii pesa inayoombwa na makarani mahakama za mwanzo unapoenda kufungua kesi ya mirathi ni rushwa au ni wizi.
Tatizo ni kwamba pesa hiyo inayolipwa haitolewi stakabadhi...
Nina mdogo wangu amekufa kule Handeni kwa kunyongwa na majambazi toka mwaka 2008 mwezi wa 3 ila hadi leo eti hakuna aliye kamatwa wala aliyegundulika kuhusika je,mimi mwenye ndugu yangu kwa mujibu...
MKUU wa Wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, Ponsiano Nyami amesitisha kwa muda malipo ya tatu ya mauzo ya korosho kwa wakulima wilayani humo baada ya kutokea vurugu zilizosababisha kuharibiwa kwa...
Kuna uwezekano mkubwa sensa huenda ikaahirishwa ili kujiandaa upya Kuweka kipengele cha ''DINI" KTk dodoso ili hatimaye tujuwe dini ipi yenye wafuasi wengi waislam/wakiristo. Waislam wameshaweka...
Nilinunua shamba dogo tu hekari mbili 2009. Baada ya kuuziwa shamba, mfanyakazi au mlinzi wa muuzaji alinifuata kuniomba kununua kipande kingine kando. Nilikataa kwani shamba alilotaka kuniuzia...
baadhi ya magari ya maaskari na ya serikali ni mabovu sana na yakipita hayasimamishwi. Lakini pita na gari lako lina kreki ya kioo kwa mbaali, atataka akupeleke kituon, lakini ya kina nanihi hata...
Ni katika sakata la ujenzi wa mji mpya kigamboni,wamesema serikali iking'ang'ania na mpango wao basi wataifungulia kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu na kivita ya uholanzi(The Hague)...
ndg zangu tupia hapa yanayojili kuhusu majina na usahili wa makarani wa sensa maana kuna sehemu zingine mpaka sasa hakieleweki. Hii kitu muhimu sana maana habari toka ndani zinasema malipo si...
Hapa Arusha leo ni kelele mji mzima kupitia vipaza sauti kwenye magari mawili yanayotangaza zoezi la ukusanyaji wa kutoza ushuru wa magari yanayopaki Arusha mjini pamoja na viunga vyote vya jijini...
Shirikisho la vyama vya wafanyakazi ndio watetezi wetu sisi wanachama. Lakini kutokana na sheria iliyopitishwa hivi karibuni kuhusiana na mafao eti mtumishi hadi atimize miaka 55 ndiipo apate...
Termination of Employment under ELRA read together with S 4 of the ELR(code of Good Practice)
S.4(3) na (4) Kama Mfanyakazi ameendelea kufanya kazi na baada ya mwezi mmoja (baada ya mkataba...