Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nimesoma habari hii https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/122959-gari-yenye-namba-ya-zanzibar-naweza-kuitumia-tz-bara.html Na nimeona michango hii ambayo inanifanya nijiulize...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi walimu wa vyuo nao wapo kwenye huu mgomo wa walimu!!, Kama hawapo kwani wao tofauti yao na hawa wengine ni nini!!.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika kizungumkuti kinachoendelea baina ya sheria mpya na wafanyakazi tutegemee makubwa kwani wadau wengi wa wanataka kususa kupeleka michango kwa miezi sita mpaka hatma itakapo patikana ona hii...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
NEWS A Tanzanian farmer. Picture: File By MIKE MANDE Posted Saturday, June 30 2012 at 12:40 An independent watchdog is piling pressure on the United States government to intervene in a deal...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ni mimi peke yangu au kuna wengine wanaodhani kwamba wanafunzi nao kuandamana ni ujinga tu... SERIKALI imelazimika kutumia Jeshi la Polisi katika harakati zake za kudhibiti mgomo wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Imeripotiwa na TBC1 katika kipindi cha DIRA kwamba mkuu wa mkoa wa Ruvuma ameitisha mkutano na wakuu wa shule za msingi na sekondari ili kuwatuma wawashawishi walimu waliogoma warudi kazini.Baadhi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali imewarudisha wahamiaji haramu toka Ethiopia kwa ndege kwa gharama za serikali ya Tanzania. Maswali ya kujiuliza Je! Hizi fedha zinatoka ktk fungu gani?? Je nani anahusika na uingizaji...
0 Reactions
4 Replies
938 Views
WanaJF nasikia Tume ya Usimamizi na udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za jamii (SSRA) mnamo tarehe 27/07/2012 walitoa tangazo kwa umma lililokuwa likiwalenga wanachama wa zamani wa mifuko ya hifadhi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba kutanguliza samahani maana hili sio jukwaa lake lakin ni dharura... mi na baadhi ya wenzangu tupo masomoni nje ya nchi, kuna mwenzetu mmoja ana tatizo, ni kwamba jina lililopo kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika kipindi cha hivi karibuni, nimefuatilia nyendo za jeshi letu la polisi na kugundua limebadili kabisa mwelekeo wake wa kupambana na uhalifu. Sasa limeanza kushughulikia raia wema. wametajwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
-Kwa kuwa zoezi la vitambulisho vya Taifa linawahusu Watanzania wa dini zote, -Na kwa kuwa kupata kitambulisho kutamfanya mtu apatikane kila akitafutwa, -Na kwa kuwa kitambulisho cha mtu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mgomo wa walimu una madhara ya huko mbeleni ila serekali haitambui hili. Kwa mfano; waalimu waanze kudanganya wanafunzi kuwa raisi wa kwanza wa nchi ni mrisho mpoto, mtoto atakua akifahamu hilo tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuna habari ambazo sio rasmi zinazosema kwamba wafanyakazi wa bulyanhulu wamegoma kisasheria yao mpya ya mafao
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimemsikia kamanda mmoja huko Ruvuma anaongea eti kuna walimu wanawafanya wanafunzi waandamane na eti ana wataka walimu waache. Swali ameambiwa na watoto kuwa wametumwa na walimu au ndo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
MWALIMU mmoja wa jinsia ya kike aliyefahamika kwa jina moja la Kahimba wa shule ya msingi ya Kambarage iliyopo Kata ya Msamala katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea Mkoani...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Itakayosimamia ¤Mirathi ¤Ndoa ¤Haki za Wanafamilia n.k SOURCE: BUNGENI
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi Serikali inakusudia kutunga sheria mpya ya madaktari, kutengeneza kanuni za kuwasilisha malalamiko dhidi ya wanataaluma wa afya pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu MwanaHalisi kuvunjika kwa pakacha si mwisho wa uchukuzi. Nashauri yafuatayo ili mwendelee kutuhabarisha: 1. Fanya MwanaHalisi liwe linachapishwa mtandaoni tu kwa sasa kwani zuio la...
12 Reactions
40 Replies
4K Views
Wanajamii watu wengi hasa walio kwenye sekta binafsi wanaopenda kuandamana kupinga sheria iliyopitishwa na serikali Mnaombwa kutoa mawzo yenu hapa, ni kupinga sheria ya mifuko ya jamii kukalia...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tumeshuhudia mgomo wa walimu ukianza kwa kasi ya ajabu hapo jana! Lakini cha kushangaza,leo karibia nchi nzima walimu wamerudi kazini kimya kimya. Hii inaashiria nini? Je huu ni uoga au tuuite...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…