Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Rafiki zangu hili la PAYE (pay as you earn) mmelielewa lakini??? 25% ya mshahara off?????kwa kazi gani nzuri serekali inayotufanyia??? Na bado eti NSSF/PPF huchukui mpaka age of 55.....Mnaelewa...
wakizinduka hapo ni ama wagonge meza au waunge mkono hoja wasiyoijua
sio lazima kuhudhuria vikao kama hauwezi kuwakilisha waliokutuma. inawezekana sheria ya kinyonyaji ya kuhusu mafao ya...
Ufafanuzi Kutoka Mamlaka ya Usimamizi na Udhitibi wa Hifadhi ya Jamii
UFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII.
Ufuatao ni ufafanuzi mfupi...
hili sakata la amendments za pension tulitegemea kusikia maoni toka kwa waziri kivuli wa kazi wa CHADEMA waje na hoja mbadala lakini kimya
hajulikani ni nani na haieleweki kwa nini kaingia mitini...
Wana Jamvi Natamani huu mgomo wa Walimu ungetokea kipindi cha miaka 1994 hadi 2002. Hakika kipindi hicho wanafunzi hata wa shule za msingi walikuwa wanaumri mkubwa na wenye kufikiria na kuweza...
jana nimepita shule nyingi za dodoma nikakuta kuna mgomo wa walimu,baadhi yao wakasema walimu wasiogoma ni wasaliti,Nikawakatalia kuwa si wasaliti,mwalimu amefundisha miaka 30 nyuma,amebkiza...
Serikali inasubiri nini, si ipeleke wanajeshi nchi nzima wakafundishe!!, Ngoja na walimu wa vyuo vikuu nao wanukishe nasikia ipo jikoni, na huko napo wawaandae wanajeshi kwenda kukata nyanga...
Salaam wakuu,
Gari yangu ilipata ajali wiki iliyopita ikiwa na valid insuarance na MVL. Naomba nielimishwe kama kuna utaratibu wowote ule unaoweza kufanyika ili MVL ya gari hiyo isogezwe mbele...
Wadau naomba kuuliza hv hawa tbccm kuna ulazima wowote wa kutanganza mwenendo wa huu mgomo mi naona wameegemea upande wa kutaka kuonesha kuwa mgomo umefeli kwanza jumapili waligoma kutanganza ile...
siasa ndio uti wa mgongo wa taifa hili,kwani wamekuwa wakiongezewa vipato bila visingizi vya uchumi mdogo wa taifa,MADIWANI WAMEONGEZWA KWA ZAIDI YA ASILIMIA MIA,WABUNGE NA MADIWANI WANALIPWA...
Wana-JF,
Nimekuwa nikijiuliza mwenyewe hili wimbi la migomo lilivyoanza hapa nchini pasipokupata majibu. Fikiria walivyogoma madaktari hapa nchini na matokeo ya mgomo huo. Fikiria wanavyogoma...
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke leo inaendesha zoezi la kionevu kwa wenye magari yanayopaki hata kwenye maeneo ya maduka Temeke, Tandika, Mbagala nk. Faini 50000/= na 50000/= kutoa gari yard...
Tue, Jul 31st, 2012
Tanzania |
The Tanzania government plans to table in Parliament a new law to regulate insolvency and bankruptcy issues in the country.
Enactment of the new law, which is...
Ndugu wana JF,Nimesoma na kufuatilia kwa makini Marekebisho ya Sheria yaHifadhi za jamii na nimegundua kuna masuala ya msingi ambayo hayakuzingatiwa.Ukiangalia Katiba ya nchi ibara ya 21...
Nimejaribu kupitia hotuba ya baba wa taifa alisema "Tumeamua kua wakali sana na wala rushwa,kwamba ikithibitika mtu amekula rushwa kwamba aliyetoa na aliyopokea wote wanapata adhabu na...
Katika vyuo vyote ulimwengu kozi ya sheria inachukuliwa kuwa mihimu na nyeti,ili mwanafunzi awe na sifa ya kupewa shahada ya kwanza ni lazima afanye utafiti na hatimaye aandike ripoti ya utafiti...
Nahitaji msaada kwa mwenyekujua ni sheria ipi na ya mwaka gani ambayo haimruhusu dereva kutembea na kopi ya leseni na nini adhabu yake iwapo atakamatwa
Ni habari ya uhakika kabisa ambayo nimeifanyia uchunguzi wa kutosha. Wakiingia kazini hawa askari wanapewa jukumu la kila mmoa hataruhusiwa kuondoka alipopangiwa hadi akamate magari 20 ambayo...