Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wadau nimeona tujadili hili la serikali yetu kutumia mahakama zetu kama chaka la kuficha maovu yake!!! Tuliona swala la madaktari walipoanza tuu mgomo serikali ikakimbilia mahakamani kusitisha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sidhani kama hata ile idara ya procurement pale BOT wanaweza kuwashinda hawa Tanesco kwa ufisadi uliokithiri Lakini mkitaka kujua ufisadi unavyofanya kazi tazameni: 1. Valuation team za hii...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF, Leo nimestuka na hii kodi mpya kwenye magari. Mbona sikusikia kama chanzo kipya cha mapato ya serikali kwenye bajeti ya mwaka huu? Leo rafiki yangu kaenda TRA kulipia road licence...
3 Reactions
93 Replies
9K Views
Mwenzenu niko njia ya panda. Baada ya kuona vibaka wanasota magerezani lakini wahujumu uchumi, wala rushwa na mafisadi wanatesa Bungeni, nimeanza kuona umuhimu wa kuripoti polisi ili walau...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa iliyoandikwa na gazeti la Mwanahalisi kumponda Katibu wa nishati na madini imeonesha Gazeti hili liliandika bila kufanya utafiti. Ukweli halisi tumeupata siku bajeti ilipowasilishwa na...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
JIRANI YANGU AMENUNUA BAISKEL INAYOSEMEKANA NI YA WIZI .MWIZI AMEKAMATWA YUKO O/BAY BAADA YA KUMINYWA AKAMTAJA ALIEMUUZIA WAKAMKAMATA USIKU WAJANA WAKAMWEKA KITUO KIDOGO CHA MIKOCHENI .KTK...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wakuu Hivi kama una documenty halali za mzigo,na unataka kuhamisha kutoka wilaya nyingine hadi ni kosa kisheria?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
From a friend. Please be informed that armed thieves have recently come up with a more “efficient" method of disarming people in the City Centre. They extend their arm for a handshake after...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni mama wa Kijita mitaa ya Mkombozi Kilimahewa Mwanza mama ashikwa majira ya saa 5 mchana.Inasemekana watoto wanaopoteaga katika mazingira ya kutatanisha anawachukuaga huyo mama.Kakutwa mmoja na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Serikali imechota burungutu la mamiioni kinyume cha utaratibu kutoa mfuko hifadhi ya jamii pesa hizo ni michango ya wanachama wa mfuko huo,inasemekana serikali haina fedha.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kupata idadi kamili ya wapiga kura ili kama uchakachuaji unafanyika,basi ufanyike kiustadi mkubwa.'Kikompyutakompyuta'.NIDA wameshaagizwa kuhakikisha wanafananisha watakaoandikishwa na wale...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nikiwa kama machine operator wa mamlaka ya reli,imetokea ajari kwa behewa kotoka kwenye reli kutokana na ubovo wa machine yaani zimechoka,kwanza tokea wachina wazifunge mwaka 1975 hazija fanyiwa...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Assalaamu alaykum, hongereni kwa swaum. Hili zoezi la vitambulisho vya taifa sijalifatilia kwa undani, ila kwa mtazamo wa jumla linaonekana kuwa na nia njema na wananchi wa Tanzania. Kinachonipa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninilisikitishwa saana na Serikali ya Tanzania kuwazuia ma dr kuadamana kisa kesi hiko mahakamani.Na jana nimesikitishwa zaidi na kauli ya Serikali kuhusu mgomo wa walimu kwa kusema kuwa ni batili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi; Raisi wa CWT ametangaza mgomo wa walimu nchi nzima utakaonza jumatatu 30/7/2012 hadi 03/8/2012 Kama madai ya walimu hayajatekelezwa mgomo utaendelea tena baada ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza hvi ile sheria mpya iliyopitishwa ndo itaendelea kweli au Bunge limefikia wapi maana binafisi naona kimya tu au ndo watu wameridhika?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Affidavit..Hati ya kiapo nipo mahakamani kuhakikisha napata hati yang ya kiapo kuonyesha nimezaliwa mwezii wa 7 mwaka 1957!! nikitoka hapa nikachukue chet changu RITA. Tusiulizane how i look like...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu zangu inawezekana unashukuru mungu kwa kuwa amekupa uhai uhai uliopo ni kwamba hii sehria inayoendelea kupigwa kelele na hawa wahuni waitwao wabunge kuipitisha na leo hii nimesikia ati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu wanajf, Ni matumaini yangu waraka huu utawakuta mkiwa wazima wa afya ninyi na familia zenu. Nianze na mkasa ulionikuta. Jana majira ya saa tatu nilipita kituo cha...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanasheria ninawaomba msaada. Nimeumia kazini, ni sheria ipi inatumika? Au haki zangu ni zipi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…