Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
One of my colleague is complaining that Tanzania Cigarette Company, where he worked in the 2004-2009 has never submitted NSSF Contribution for 2006/2007. He has notified HR Office for that matter...
Wasalaam wanajamii!!!
Mimi ni mpangaji katika nyumba ambayo nalipia pango kwa tzs 200,000/= kwa mwezi.
Niliingia mkataba wangu trh 24/12/2011 wa miezi sita, wa jumla ya TZS 1.2ml, ambao kwa...
Naomba kujua kama madaktari waliogoma wanaweza kufutiwa/ kufungiwa vyeti au vibali vyao vya kutoa huduma sio tu hapa nchini bali katika nchi yoyote kwa kiuka kiapo chao. Sheria zinasemaje?
Naomba...
Leo katika taarifa ya habali iliyorusha itv ilimuonesha afisa mkuu wa polisi kitengo cha interijensia
kutokana na kufika hospitali na kujitambulisha afisa usalama ametumwa na kamanda mkuu...
eti wadau ni halali kwa askari polic au mwanajeshi kutopanga foleni ya kwny atm bank hii imetokea leo nikiwa bank kwny folen alitokea askar wa kikosi cha ffu alipita moja kwa moja had kwany atm...
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa...
Tarehe09/06/2012 ndugu Titus Mahanga, aliiruhusu familia yake kwenda TegetaZoo kuangalia wanyama. Kwa wale msioifahamu Tegeta Zoo ipo TegetaKibaoni 2km kutoka ilipo barabara kuu. Hii Zoo...
JAMES ISAME [50] mmiliki wa nyumba ya kulala wageni iitwayo Bongo Star Lodge iliyopo Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam, amekamatwa kwa kukutwa na kichwa cha binadamu kinachosadikiwa kuwa ni cha...
Jamani poleni na majukumu ya kila siku, ninaomba mnisaidie mimi ni mwajiriwa mpya katika halmashauri ya wilaya. Je, upo waraka unaoonyesh stahili zangu maana hapa naambiwa ni fedha za kujikimu tu...
Kufuatia kitendo cha kikatili cha kumteka, kumpiga na kumjeruhi vibaya sana Dr. Ulimboka, katika mazingira ya yeye na madaktari wenzake kudai haki, wafuatao wakae pembeni kupisha uchunguzi;
1...
Ni katika oparesheni kali inayoendeshwa na Kamanda wa polisi Simon Silo aliyepiga kambi Wilayani Serengeti.Vifaa hivyo vimekamatwa ktk kijiji cha Rung'abure wilayani Serengeti.Vifaa vilivyokamatwa...
Naangalia kipindi cha bunge saa hii na kuna mbunge anachangia. Anataka mahakama ya kadhi ilejeshwe. Utetezi wake ni kuwa mbona majirani zetu Kenya wanayo?, utetezi mwingine ni kuwa, kama...
Kwa takribani siku tatu tumesikia kuwa kuna Viongozi wa Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM wanaomiliki akaunti huko nchini Uswisi. Mambo hayo nakumbuka miaka ya nyuma tulikuwa tukisimuliwa...
hivi kama ikitokea ukisingiziwa mtoto na mwanamke halafu ukamlea, kumsomesha na kumpa kila kitu kwa kujua huyu ni mwanao, ikaja siku mtoto amekuwa yuko chuo kikuu anajitokeza mtu ambae ni baba ake...
wakati kesi inayomkabili msanii lulu ikiendelea angalia hivi vifungu jinsi vilivyomiminika hapa
mawakili wanadai mteja wao yuko chini ya umri kwa hiyo kesi ihamie mahakama ya watoto
mbona Papii...
Mahakama kuu ya Tanzania Kitengo cha kazi jana imetoa onyo kwa Chama cha Madaktari Nchini (MAT) kuzingatia amri ya Mahakama hiyo iliyotolewa siku ya Ijumaa tarehe 22 Juni 2012 ya kusitisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.