Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wana body mara kwa mara nimekuwa nikiona post za watu wanatafuta msaada wa kisheria. Tafadhali tembelea hapa LAWFRONT ADVOCATES
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu, je mahakama ya kazi nini majukumu yake hasa? ni kusuluhisha tu migogoro ya kazi au inaweza kushitaki?? Je hili la mahakama ya kazi kuwaamuru chama cha madaktari kusitisha mgomo wakati sio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari, tujadili hili. Kumekuwa na utaratibu wa serikali kutoa uraia kwa wageni. Ila kwa wasomali tuwe makini.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani nisaidiwe maelezo yanayofaa yakielezea utaratibu mzuri wa mgonjwa kazini aliyekwisha pewa likizo ya ugonjwa na bado ni mgonjwa nitumie utaratibu gani kumterminate? Najua Sec 32 ELRA...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za jioni wana JF wenzangu na wapenda maendeleo wote kwa ujumla. Ijumaa jioni, nikiwahi mjadala wa kufunga bajeti nilikamatwa kwa traffic. Nikiwa katika hali ya kuwahi kuangalia bajeti...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wanaojua sheria naomba kujua maswala ya likizo za kinamama wanapojifungua. Mtu akijifungua huwa office ya serikali au binafsi zinampa likizo ya muda wa miezi mitatu. Na je hii likizo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mwajiri akishindwa kukupa mishahara mitatu(yaani miezi mitatu mfululizo),sheria zinasemaje?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu zangu ni matumaini yangu kwamba mmeamka salama,nimesimama katika jukwaa hii kuweza kupata msaada juu ya mirathi ya BABA YANGU, BABA YANGU ALIKUWA POLISI PALE DAR-ES-SALAAM NA MWAKA 2005...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni muajiriwa katika kampuni fulani hapa mjini. nilipewa mkataba wa miaka minne, ambayo mpaka sasa nimeshatumikia mwaka mmoja na nusu. wanasema kuwa kutokana na matatizo ya fedha wanataka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wananchi wenye hasira wamevamia kituo cha polisi Malampaka wilaya ya Maswa kwa nia ya kumuua askari anayedaiwa kumuua raia katika vurugu zilizuka awali na kusababisha kifo cha raia mmoja mpaka...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu, natafuta copy ya The Finance Bill, 2012. Nimejaribu kupekuwa kwenye tovuti ya Bunge bila mafanikio. Kwa yeyote mwenye nayo au anayejua namna/mahali pa kuipata kirahisi, tafadhali naomba msaada.
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Wadau, tuungane katika hili, hawa watu watamaliza kizazi chetu. MORIS Charles anayejitambulisha kuwa ni askofu wa kanisa moja la kiroho jijini Dar es Salaam amedakwa na unga hivi karibu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba anayejua ilipo ofisi ya Chama cha Wapangaji (Tanzania Tenants Assoc.) au mwenye contacts zao anijulishe, tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii naomba kujua lile swala la watumishi walioghushi vyeti limeishia wapi? Na je kwa kufanya hivyo wamevunja sheria gani? Na ni nini adhabu yao.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Napenda kuwaomba mawakili ambao wanasoma makala za kisheria katika jukwaa hili," kuwa, kuna mdogo wangu ana kesi makama ya wilaya ya bariadi ;ni kesi ya jinai; tunahitaji mapema wakili wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajameni nisaidieni nichukue hatua zipi kumtoa mpangaji wa nyumba yangu ambaye hataki kulipa ada ya pango la nyumba sasa miezi minne. Nifuate sheria zipi zakumuondoa haraka huku akiwa amelipa...
0 Reactions
16 Replies
21K Views
Wakuu, Kampuni yangu ina ugomvi na serikali ya mamlaka ya mji mdogo kwenye moja ya wilaya zetu. Juhudi za kutumia njia za kawaida kutatua tatizo zimeshindikana. Wanagoma kutoa leseni ya biashara...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Nape mdudu gani, hajui hata mali za nchi wanazo ccm? muda tu unakuja ccm haina kitu, watanyang'anywa Wakati wa chama kimoja sote tulipaswa kudai mali ya TANU NA CCM kabla ya MFUMO HUU WA VYAMA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The Constitutional application case filed by the Tanganyika Law Society, Legal and Human Rights Center and Rev. Christopher Mtikila is set to be heard today at 10:00 am at African Court on Human...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajaamii ninaomba msaada wa haraka wa kisheria ili niweze kumsaidia ndugu yangu wa karibu anayefanya kazi na kampuni ya kigeni. Kwa ufupi ndugu yangu amefanya kazi tangu mwezi wa 10 mwaka 2009...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom