Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Katika Jeshi la Police kuna idadi ya police wenye maadili ya kazi na wana heshima zao kwenye nyazifa zao, lakini humo humo kuna wengi wao ni wabaya zaidi na huwa wanausika sana kwenye dili mbaya...
Malaysia runs two parallel legal systems - civil and Shariah
A Christian lawyer in Malaysia has failed in her attempt to be allowed to practise in the Muslim Shariah courts.
Victoria Jayaseele...
naomba msaada wa kisheria nimetapeliwa na bwana mmoja raia wa burundi jina lake ni JANVIER NDUWAYO raia wa burundi, jumla ya fedha dolla elfu tano na euro 800, alikuwa ananisaidia kunitafutia...
Habari wana Jf!
Naombeni msaada wa kisheria nimekua nikikwata Mshahara wangu na Bodi ya Mikopo yaan HESLB hali sina mkataba wowote na wao,yaani elimu yangu hata hainauhusiano na Bodi hiyo,Ngazi...
Naomba kusema kuwa mgogoro unaoendelea huko Ikwiriri baina ya wafugaji na wakulima ni muendelezo tu wa matukio kama haya ambayo tumekuwa tunayashuhudia katika wilaya nyingine kama vile Kilosa...
Wakuu, mdogo wangu amefikia makubaliano na mke wake wa ndoa kuwa wapeane talaka. Walifunga ndoa mwaka 2007 huko kigoma lakini baada ya mwezi mmoja tu mke wake aliomba arudi dar es salaam...
Mwenyekiti wa kijiji amemega ardhi ya shamba la kijiji na eneo la ofisi akauza kwa tajiri mmoja halafu kila anayejaribu kuhoji anaundiwa kesi ya uongo na yule tajiri halafu anawekwa ndani kwa...
NI kwa nini employers wengi wanavunja sheria ya kazi kwa kutotoa orodha ya kazi za mwajiriwa yaani Job Description.
Mimi napendekeza watumishi wa idara ya kazi waanzishe mtindo wa kuzunguka kwa...
The prevailing situation in most Tanzanians private institutions is terrible.No job security at all, the managers don't have managerial skills and in most cases they manage by crisis, and cause...
Hali ya usimamizi wa sheria mama ya pale uchina inasonga mbele, Baada ya mtz bwana Zuberi Musa kula kisu wiki mbili zilizopita, sasa ni zamu ya mchina Le yung Chen amehukumiwa kunyongwa, baada ya...
habari, naomba msaada kwa ajuaye sheria kuhusu mambo yafuatayo
1) Kama Arbitrator kwenye labour cases ametoa award ya reinstatement employer anaruhusiwa kuomba atoe compensation instead of...
Naona orodha ya haki za binadamu inazidi kupanuka. Tumesikia sheria zikitungwa kulinda haki za mashoga, wasagaji. Sasa nchini Misri wanaume wanadai haki ya "kuwaaga" wake zao waliokufa kabla...
Wanabodi.
Naomba kujua kutoka kwa wana wanasheria wetu humu JF ikitokea member akakutukana au kukashifu au kukutishia maisha kuna uwezekano wowote wa kumfugulia mashtaka.
Sina nia ya...
Polisi mkoani shinyanga inawashikilia majangili kwa kuwakuta na CHUCHU 2 ZA TEMBO,vipande vya mikia ya tembo,maskio ya tembo,pamoja na risasi kadhaa........
Sosi:mwananchi
NATAMAN NA WALE...
SALAAM!
Inakumbukwa kuwa Mhe.Joseph Selasini Mbunge wa Rombo alipata ajali mbaya ya gari na watu watatu kupoteza maisha akiwemo mama yake Mzazi... Hapa nataka kujua kama ile ile hatua...
MAHAKAMA KUU ya Tanzania Kanda ya Tabora imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa Juma Mayala (23) kwa kosa la kumuua baba yake mzazi
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Jaji Simon Lukelewa huku...
Over the past six years, more than 3,000 people were lynched in Tanzania by frightened neighbors who thought they were witches,
according to a new report from the Legal and Human Rights Centre...
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza habari kwa njia ya redio nikajikuta nimenasa kwenye radio ya fm 104.4 (sifaham jina la kituo cha redio).Wahusika walikuwa wakizungumzia masuala ya vurugu...
Aisee wadau leo nimeaply hii sheria inayokataza kuvuta sigara in public place kwa njemba mmoja.kama mlikua hamjui kuna sheria THE TOBACCO PRODUCT (REGULATION) ACT NO. 2, 2003 inayokataza kuvuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.