Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ile kampuni ya Home Shopping Center inayohusishwa na familia ya rais wa Tanzania JK na pia kutuhumiwa kwamba hailipi kodi inapoingiza bidhaa nchini imelipeleka gazeti la Dira la Mtanzania...
Wadau Kwenye Sheria Iv mtu Aneyetafutwa Kwa RB Eitha Awe Amekusudia Kufanya Kosa Husika Au Bahat Mbaya .. Anaruhusiwa Kupigwa Risasi Endapo Atakaid Amry ya Askary Polisi Kupelekwa Kituoni
.?
Habari wana-JF,
Bila shaka kumbukumbu bado zipo vichwani mwenu kuwa liliwahi tokea sakata la mtoto wa Mengi kutaka kubambikiwa kusafirisha madawa ya kulevya...je nini hatma ya hii issue? je hatua...
IN THE HIGH COURT OF TANZANIA
AT DR ES SALAAM
MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO 107 OF 2010
IN THE MATTER OF ELECTION PETITION UNDER THE NATIONAL ELECTIONS ACT CAP. 343 R.E 2010 AND THE ELECTIONS...
Jamani wataalamu nahitaji kupata uelewa katika hili.
Imekuwa ni kawaida kusikia mtu anaposhindwa aina flani za kesi Hutakiwa kulipa gharama za uendeshaji wa kesi husika.
Nahitaji kufahamu aina ya...
zikiwa zimepita kesi wakaza za kupinga ushindi wa upinzani watanzania tunabaki tunajiuliza nini hasa uwasukuma hawa mabwana kuenda mhakamani na kupoteza hela je ni kuvuruga concentratio ya public au
1. Wakulima na Wafugaji.
2. Wenyeji (Watanzania) na Wawekezaji toka Nje.
3. Wenyeji (wa TZ) na Wawekezaji wa Ndani (Wa TZ wenzao).
4. Wenyeji (waTZ) na Viongozi Wastaafu/Waliopo madarakani.
5...
Hivi sasa kuna usaili unaoendelea kwa ajili ya mahakama za mwanzo, ambapo kigezo kikubwa ni kwaba tofauti na hapo kabla sasa hakimu wa mahakama ya mwanzo anatakiwa kuwa na shahada ya kwanza ya...
Wadau hivi inakuwaje kama umekubaliana na mwenye nyumba kwamba nyumba haijakamilika ila ataikamilisha,ukalipia kodi ya mwaka mzima kwa hela ya nyumba iliyo kamili na asiikamilishe then,mwisho wa...
Mbunge wa Igunga Dr Kafumu ambaye anawakilishwa na wakili Kanyama amepeleka barua ya kutokua na imani na jaji anaeiendesha kesi hiyo,mbunge huyo amepeleka barua yake kwa kulalamika kuwa jaji Marry...
Jamani,nipo stranded kama wiki tatu sasa zimepita tangu wamespray na kunivunjiwa kioo cha gari,ilikuwa siku ambayo sunami ingetokea,siku ambayo mvua ilinyesha sana hapa mjini,mida ya saa tatu...
Mabomu ya machozi na vifo tayari vimetokea huko Ikwiriri na chanzo ni mapigano ya wakulima na wafugaji.
Wakulima wameshambulia vituo vya polisi badala ya kuendelea kupigana na wafugaji,kwa nini...
Watanzania wenzagu tunapo zungumzia mishahara midogo hali ya maisha ni ngumu. Ndio tunatoa mwanya wa maeneo kama afya.usalama.huduma mbalimba za kijamii kupokea rushwa kama njugu? Au huu umekuwa...
Naomba kusema kuwa mgogoro unaoendelea huko Ikwiriri baina ya wafugaji na wakulima ni muendelezo tu wa matukio kama haya ambayo tumekuwa tunayashuhudia katika wilaya nyingine kama vile Kilosa...
Habari nilizozipata kutoka kwa chanzo cha uhakika ni kuwa wananchi wa Ikwiriri rufiji wamefunga barabara iendayo Mtwara,na fujo zikiendelea madai ikiwa ni kama yale ya WANA SONGEA kuwa kuna mauaji...
Najua zipo nyingi, leo nitatoa mbili
KWANZA, Kuna hii ya Cheque inayozidi 10M haiwi processed through BOT clearing house, lakini unakuta mtu anaandika cheque mbili anamlipa mtu yuleyule mmoja...
Ni mratibu wa tasaf wilaya ya Ngorongoro. Wakiwa ktk harakati za kuanza safari toka Karatu kwenda Ngorongoro dereva alimwomba bosi wake wapitie gereji kabla ya kuanza sfr ili kurekebisha matatizo...
Taarifa za kuaminika nikuwa,
Mtanzania
akamatwa na unga China ananyongwa J'nne anaitwa Zuberi Mussa, Ni mkaazi wa Zanzibar aliwahi kuishi Canada! Sijui atasaidiwa vipi maana yeye ni container...
Kuna tetesi za baadhi ya maofisa wa BOT kujihusisha na rushwa kwa kutoa vibali vya biashara ya non banking kwa watu wanaokopesha watanzania wenzao kwa riba za juu sana na kuchangia umaskini kwa...
wanasheria wa jf tafadhari naomba msaada wa ushauri wa kisheria kuhusiana na mgogoro wa ardhi iliyouzwa na msimamizi wa mirathi.
Marehemu alikuwa amezaa na wanawake watatu tofauti, mke wa kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.