Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Jana katikia taarifa iliyotolewa na kamishna wa sensa imetaja kwamba dini, kabila au mambo ya kisiasa ni mambo ambayo hayatakuwamo wakati wa sensa ya Mwaka huu. Napenda kupata ufahamu zaidi je ni...
Wana JF habari zenu....
Hii ishu ya mipaka ya Tanzania na vuguvugu la Muungano limeniacha nikijiuliza itakuwaje. Mipaka hii nayozungumzia ni Contiguous Zone na Exclusive Economic Zones (EEZ)...
Iddi Simba
NI KUJIBU MASHTAKA YA UFISADI UDA, AJIDHAMINI KWA MALI YA SH8 BILIONI BADALA YA SH500 MILIONI ILIYOTAKIWA
Tausi Ally na James Magai MWENYEKITI wa Bodi ya Shirika la Usafiri Dar es...
MKATABA WA HALI BORA WA WAFANYAKAZI TANZATE ONE WAELEKEA KUSAINIWA NA MENEJIMENTI. Hivi ni wakati gani kisheria mwajiri anatakiwa kusaini mkataba wa hali bora kwa wafanyakazi ...
huyu jamaa mpiga picha ,tumefanya mkataba baada ya kuwa kazi imekwisha fanyika order yangu ni picha 100 tu, katoa picha 165 tumekwenda polisi nika notes kitu jamaa wana force nimlipe tu kwa kuwa...
nimeshtakiwa na mpiga picha,baada ya mimi kumshtaki mahakamani kwa kosa la kuzidisha picha tofauti na mkataba wetu wakati huohuo ameuza picha bila idhini na analazimisha nimlipe pesa za picha...
Katika hali isiyo ya kawaida katika kesi ya kupinga matokeo katika jimbo la Igunga ambapo Mbunge P. Kafumu alipita kwa njia za panya huku mpiga debe wake akiwa ni Mwigulu Nchemba amepelekea...
jamani naomba kuuliza hivi kama mtu ameajiriwa na akasaini mkabata lakini hakupewa copy ya mkataba na mwajiri (mwajiri amebaki nayo) je anaweza kumdai mwajiri mkataba wake hata kama amefanya kazi...
Elizabeth Michael@Lulu ataachiwa huru kutoka kesi inayomkabili ya mauaji ya aliyekuwa mpenzi wake marehemu Kanumba. Kwa taarifa toka chanzo cha ndani sana,,Serikali imeamua kumsaidia/kumbeba...
Msaada wa kisheria: Endapo wanandoa wameoana kwa zaidi ya miaka mitano hawana mtoto.Na wamefunga ndoa ya kiserikali. Katika ndoa yao kukawa na mgogoro wa muda mrefu uliopelekea kufikishana...
NI YULE MWENDESHA MASHTAKA KESI ZA EPA, R I P BROTHER.
MKURUGENZI Msaidizi wa Mashitaka nchini na Mwendesha Mashitaka mashuhuri katika kesi kubwa mbalimbali nchini, Stanslaus Boniface amefariki...
Nimeamia kwenye nyumba miez 3 iliyopita nimelipa kodi ya miez 6! Wiki 2 zilizo pita choo kimejaa! Mwenye nyumba anataka 2change pesa 2wezekuvuta! Mi na wangaji wenzangu 2megoma mwenye nyumba kadai...
Kama serikali haitapiga marufuku unjwaji wa pombe hadharani, Tanzania itakuwa ktk hatari ya kuwa na raia walevi kupindukia kama Urusi au Australia. Sasa hivi vijana wengi wakishika fedha kidogo...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imesema sheria ya ununuzi wa umma hairuhusu kampuni kuomba kazi kwenye Taasisi ya Umma bila zabuni ya kazi husika kutangazwa. Katika taarifa yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.