Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

One of my colleague is complaining that Tanzania Cigarette Company, where he worked in the 2004-2009 has never submitted NSSF Contribution for 2006/2007. He has notified HR Office for that matter...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasalaam wanajamii!!! Mimi ni mpangaji katika nyumba ambayo nalipia pango kwa tzs 200,000/= kwa mwezi. Niliingia mkataba wangu trh 24/12/2011 wa miezi sita, wa jumla ya TZS 1.2ml, ambao kwa...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Naomba kujua kama madaktari waliogoma wanaweza kufutiwa/ kufungiwa vyeti au vibali vyao vya kutoa huduma sio tu hapa nchini bali katika nchi yoyote kwa kiuka kiapo chao. Sheria zinasemaje? Naomba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo katika taarifa ya habali iliyorusha itv ilimuonesha afisa mkuu wa polisi kitengo cha interijensia kutokana na kufika hospitali na kujitambulisha afisa usalama ametumwa na kamanda mkuu...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
deleted
0 Reactions
0 Replies
915 Views
eti wadau ni halali kwa askari polic au mwanajeshi kutopanga foleni ya kwny atm bank hii imetokea leo nikiwa bank kwny folen alitokea askar wa kikosi cha ffu alipita moja kwa moja had kwany atm...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa...
1 Reactions
145 Replies
14K Views
The Zanzibar government yesterday defended its move to register Iranian oil tankers
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Tarehe09/06/2012 ndugu Titus Mahanga, aliiruhusu familia yake kwenda TegetaZoo kuangalia wanyama. Kwa wale msioifahamu Tegeta Zoo ipo TegetaKibaoni 2km kutoka ilipo barabara kuu. Hii Zoo...
1 Reactions
46 Replies
8K Views
JAMES ISAME [50] mmiliki wa nyumba ya kulala wageni iitwayo Bongo Star Lodge iliyopo Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam, amekamatwa kwa kukutwa na kichwa cha binadamu kinachosadikiwa kuwa ni cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani poleni na majukumu ya kila siku, ninaomba mnisaidie mimi ni mwajiriwa mpya katika halmashauri ya wilaya. Je, upo waraka unaoonyesh stahili zangu maana hapa naambiwa ni fedha za kujikimu tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani naomba msaada,sheria ya ujenzi karibu na nguzo kuu za umeme inasemaje?
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Kufuatia kitendo cha kikatili cha kumteka, kumpiga na kumjeruhi vibaya sana Dr. Ulimboka, katika mazingira ya yeye na madaktari wenzake kudai haki, wafuatao wakae pembeni kupisha uchunguzi; 1...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Ni katika oparesheni kali inayoendeshwa na Kamanda wa polisi Simon Silo aliyepiga kambi Wilayani Serengeti.Vifaa hivyo vimekamatwa ktk kijiji cha Rung'abure wilayani Serengeti.Vifaa vilivyokamatwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naangalia kipindi cha bunge saa hii na kuna mbunge anachangia. Anataka mahakama ya kadhi ilejeshwe. Utetezi wake ni kuwa mbona majirani zetu Kenya wanayo?, utetezi mwingine ni kuwa, kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa takribani siku tatu tumesikia kuwa kuna Viongozi wa Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM wanaomiliki akaunti huko nchini Uswisi. Mambo hayo nakumbuka miaka ya nyuma tulikuwa tukisimuliwa...
9 Reactions
34 Replies
4K Views
hivi kama ikitokea ukisingiziwa mtoto na mwanamke halafu ukamlea, kumsomesha na kumpa kila kitu kwa kujua huyu ni mwanao, ikaja siku mtoto amekuwa yuko chuo kikuu anajitokeza mtu ambae ni baba ake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
yamtaka rais wake kutangaza kupitia vyombo vya habari kuheshimu amri iliyotolewa na mahakama hiyo ijumaa iliyopita. CHANZO: TBC 1
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakati kesi inayomkabili msanii lulu ikiendelea angalia hivi vifungu jinsi vilivyomiminika hapa mawakili wanadai mteja wao yuko chini ya umri kwa hiyo kesi ihamie mahakama ya watoto mbona Papii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mahakama kuu ya Tanzania Kitengo cha kazi jana imetoa onyo kwa Chama cha Madaktari Nchini (MAT) kuzingatia amri ya Mahakama hiyo iliyotolewa siku ya Ijumaa tarehe 22 Juni 2012 ya kusitisha na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…