Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
habarini za asubuhi ndugu zangu, bila shaka kwa uwezo wake maulana wote hatujambo.
Ni mejitokeza hapa kupata ushauri ili nami nikautoe sehemu ili kuhakikisah haki inapatikana,
kuna mdogo (binti...
Dk. Kafumu amkataa jaji
na Mustapha Kapalata, Nzega
KATIKA hali isiyo ya kawaida jana Mbunge wa Jimbo la Igunga Dk. Peter Kafumu alimkataa Jaji Mary Nsimbo Shangali kuendelea...
Have you or anyone close to you been a victim of homophobia or transphobia at work, school, neighborhood...? Feel free to visit any Galck or Galck affiliates office for moral or legal help. The...
Lulu akiwa anaingia Mahakamani jana
Tuesday, May 08, 2012 12:52 PM
ELIZABETY MICHAEL lulu jana aliiomba Mahakama ya Hakiumu Mkazi Kisutu kuhamisha kesi kwenye mahakama ya Watoto kwa kuwa umri...
Mwenye nyumba wangu amenipa notis ya mwezi mmoja na notis yenyewe iko km barua ambayo anataka nisaini, sheria ya kupanga inasemaje wakuu, naomba msaada
Ni udhalilishaji mkubwa wa wanawake na mama zetu kwa ujumla.nimesimama pembezoni mwa barabara masubiri daladala mara naona linapita landrover la polisi linawapeleka dada zetu mahakamani,kisa...
Kutokana na kanuni za Utumishi wa Umma kutumia mbinu yoyote ya ulaghai ni kosa. Zoezi la Kutengeneza vitambulisho vya utaifa limezaa scandal japo ni kwa sehemu ndogo tu ya watumishi wa Serikali...
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana iliahirisha hadi Julai mwaka huu
kesi ya kumiliki vitu marufuku jela inayomkabili mfanyakazi wa zamani wa BOT
-Amatus Liyumba.Liyumba anadaiwa kufanya kosa...
wadau ivi aya mamlaka aliyonayo DPP wa Tanzania vipi?eti he is not required to give reasons for withdrawal of cases, anaeza amua kufungua kesi dhidi ya mtu na halazimishwi kufanya hivo ata kama...
Jumamosi nimetoa pesa kny ACC yangu kupitia ATM NBC kwa kutumia TEMBOCARD VISA yangu, jana nataka tena kutoa pesa kwenye Akaunti ATM ikasema sina hela kwenye ACCOUNT wakati nina hela za kutosha...
Wana sheria wa JF Salama?
Ufumbuzi wa hili ukoje?
Mwaka 1975 nilioa kwa ndoa ya kimila, bahati mbaya ndoa hiyo ilivunjika mwaka 1980 tukiwa tayari tumezaa watoto watatu. Mwaka 1986 nilipata...
'Profesa' Julius Nyang'oro aliyetunga kitabu chenye utata cha kumsifu rais Jakaya Kikwete amekubwa na kashfa kubwa ya kisomi kutokana na kuiba kazi za wenzake hata kushindwa kutimiza wajibu. Wengi...
Ndugu wana jf,katika harakati za kufungua account ya kampuni,benki wameniambia nipeleke company resolution naomba msaada kwamba hii inaandaliwaje,pia katika kutafuta tender huwa wanasema power of...
Naomba msaada wa kusaidiwa kueleweshwa ni jinsi gani naweza kuusajiri umoja/chama cha wakazi wa eneo furani.Umoja huu unahusika na shughuli za kimaendeleo ya kiuchumi na kusaidiana katika shida...
NIKIJUA bei yao ni ile ile, nilivyonunua moderm mbili na ya ubavu wangu, nageuka huku bei ya vifurushi imepanda..maanina! yaani NINGEMKAMATA MTU HUYO.. :A S 465: wanasheria nchi hii mnashindwa...
Wanajamvi nina mtoto wa miaka kumi na ninataka kufungua private company,je wanahisa tunaweza kuwa mimi na yeye tu? Au ni lazima niwe na mtu mzima? na je kama inawezekana kwa sisi wawili yaani mimi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.JAKAYA MRISHO KIKWETE amewaapisha Mawazri wapya ambao aliwateua siku ya Ijumaaa katika Baraza Jipya la Mawaziri.
Miongoni mwa Mawaziri wapya yupo...