Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu (63), amedai mahakamani kuwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na...
Wakuu naomba kujua ni kipengelee gani cha sheria ya nchi kinachoruhusu kikosi cha zima moto kusimamisha magari na kukakugua fire exstingush na kama hauna unaandikiwa notification.msaada wakuu
Jamaa yangu ameshinda kesi CMA baada ya mwezi mmoja kupita bila mwajiri kusema lolote akaamua kukazia hukumu ambapo Mahakama kuu ikatoa order kwa mwajiri ikimtaka kutekeleza maamuzi ya CMA jamaa...
Kwa wale ndugu zangu Mashahidi wa Jehova ambao hawalielewi kabisa swala la Blood Transfusion hapa mnafanyaje
Section 8 Sub 3 of The Law of the Child Act 2009
A person shall not deny a child...
Mbunge wa Kilindi (CCM), Beatrice Shellukindo
Elias Msuya na Leone Bahati
MBUNGE wa Kilindi (CCM), Beatrice Shellukindo ametakiwa kuripoti katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala ifikapo Machi 7 mwaka...
Kuna ndugu yangu eneo lake limekodishwa na kampuni ya tigo kuweka mnara. Kutokana na kutokuifahamu lugha ya kiingereza akaingia mkataba unaombana ambapo walikubaliana atalipwa laki 5 kila mwezi...
Mimi sijui huwa mnaongea nini huko kwenye hiyo agm yenu ambayo several times inafanyikaga Arusha.
Potelea mbali ongeeni muongeavyo ila pia mkumbushane kuhusu Ukimwi kama janga la Taifa. Mana naona...
Nina mama yangu kijijini ambaye alikuwa na ardhi yake nusu heka sasa ikatokea tetesi kwamba tigo wanataka jenga mnara pale, baada ya muda kwel wakaja jamaa ila wakasema wanataka ile ardh kwa ajili...
Kuna habari kwamba watumishi wote wa serikali ambao tunahitaji kujiendeleza kielimu katika vyuo vikuu hatuna haki/nafasi tena ya kupata mikopo kutoka bodi ya mikopo,eti tusomeshwe na halmashauri...
Kuna siku niliwahi kusimamishwa na polisi wa defender wasio na uniform na kuitaka niwaoneshe leseni yangu. Nikawaonesha ila bado wakaniambia kuwa pamoja na kwamba nina leseni niwaachie hela kidogo...
Kanisa Katoliki limeandaa mpango wa kukomesha uvaaji mbovu unaokwenda kinyume na maadili ikiwamo kuvaa vimini, nguo za kunyanyua matiti na milegezo kanisani baada ya kutangaza kuwavisha vazi la...
Ahsante kwa kufungua hii mail. Nimatumaini yangu utapata muda wa kunisikiliza na kuguswa kiasi cha kunishauri haraka iwezekanavyo kwani hali ni mbaya...
Nalazimika kuanza kwa maelezo yafuatayo...
naomba ushauri nifanyaje mimi na jirani zangu ,kuna ukumbi wa muziki anaitwa ACTIVE CLUB hupo mbauda. kata ya sombetini Arusha mjini ,wana piga muziki kelele zinatoka nje ya ukumbi jirani atulali...
Habari wanaJF ni matumaini yangu hamjambo. Tafadhali naombeni msaada wenu.Nina mdogo wangu ana umri wa miaka 11 na miezi kama 8 hivi yuko darasa la 6 ametuhumiwa kesi ya kulawiti mtoto wa jirani...