Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Polisi akimkamata Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa), Ananilea Nkya katikati katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam jana...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Inakuwaje gari au pkpk linapokamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi, ndani ya siku chache tu hung'olewa vifaa<spea> palepale Kituoni? Mmilki amdai nani uharibifu huo kwani hakuna uhusiano wa kosa...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
JUDICTION IKO VIPI KWENYE MAMBO YA KISHERIA?Mfn jambo linatokea wilaya moja kesi inapelekwa wilaya nyingine ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Art. 37 ya katiba hii huwa naisoma lakini bado cjaipatia ufumbuzi....eti raisi anaweza pokea mawazo na ni idhaa yake kuyakubali au kuyakataaa.....na ndio maana alikataaa mawazo ya muswada wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi wana JF, Naombeni kujua, eti katiba ya kwanza kabisa kuanzishwa duniani ni ipi?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
what does the law say to the investor company which mis- handles and forces its staff to accept and sign on documents without giving enough time to the employee to study and understand it. what...
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Ndugu wana jamii, Leo nimeenda Regency kisha kumpeleka mtoto na mama. Kwakweli kunajaa kiasi kwamba hata madaktari wamejiwekea idadi ya watu wanaowahudumia. Tuliwahi kisha mimi nikapeleka kadi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wadau naomba msaada wenu kuhusu huu uvumi wa Rais kutakakuvunja bunge.Je anauwezo wa kikatiba wa kufanya hivyo wakati wote wamechaguliwa na wananchi? na anaweza kufanya hivyo bila yeye...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Kuna Mjasiriamali mmoja wa biashara ndogo ndogo (Small Scale Enterpreneur) alikopa toka Benki moja hapa nchini kwa makubaliano ya kurejesha mkopo kwa kiasi cha shs.289,000.00 kila mwezi. Biashara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nadhani wote hamjambo. nduguni zangu na madada zangu, nawaombeni mnisaidie. siku nyingi sana nimewaza nifungue website inayohusu kutafuta kazi hapa tanzania n.k tatizo langu sijui kisheria...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi people, I'm a third year law student with OUT hardly looking for a law firm or centre where i can merge my theory with the practicals. Any one willing to assist me on this will be highly...
0 Reactions
6 Replies
849 Views
The former Attorney General, Prof. Khiddu Makubuya, has asked President Museveni to forgive him for any mistakes made in approving businessman Hassan Basajjabalaba’s Shs142 billion claims, but...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Kifungu cha sheria ya ndoa ya Tanzania ya mwaka 1971 kinaruhusu mke kukopa vitu ambavyo mumewe atakuja kuvilipa ilimradi tu vitu hivyo viwe ni muhimu kwa maisha ya familia. Hali inaweza kuwa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiangalia taarifa za habari na magazeti na ni mara chache sana utaona watu waliokamatwa kwa makosa mbali mbali kuonyeshwa picha zao kwenye runinga, au picha kwenye magazeti. Je kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mgomo wa madaktari umepelekea kushamiri kwa vitendo vya rushwa kutokana na uhaba wa huduma jana ndugu yangu katoa laki ili apate huduma wasiokuwa na hela wanataabika na kuteseka!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tangu mwaka 1973 Marekani kupitia case ya Roe Vs Wade utoaji mimba unaruhusiwa kisheria kama haki na uhuru wa mwanamke.kuna kliniki zinazotambulika kisheria zinazotoa watu mimba.daktari aweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nafahamu kwamba nitakacho kisema hapa huenda ikawa c mahali pake, lakini kutokana na kuona kwamba upande huu una wadau wengi basi ache niseme kinachonisumbua. ni hvi sisi wanafunzi tuliojiunga na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
The Ethics Committee of the Media Council of Tanzania (MCT) will arbitrate three complaints including complaints filed by former Prime Minister Edward Lowassa versus Dira ya Mtanzania newspaper...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani habari zenu wanajamii, Hivi jamani hizi stika za fire ni kwa ajili ya usalama wa magari au ni biashara?mbona magari ya serikali hayana stika na hayakaguliwi.Haya hayawezi kuungua moto...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtikila kutinga kortini posho za wabunge Send to a friend Thursday, 02 February 2012 21:32 0digg Hussein Issa, KITENDO cha wabunge kujiongezea posho kutoka Sh70,000 hadi Sh200,000 bila...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…