Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu wana JF,
Hivi karibuni nilimshitaki mtu kwa kosa la kuiba mali niliyomkabidhi kuiuza dukani kwangu.
Baada ya kesi kuisha mahakama / Hakimu alimuhukumu mtuhumiwa kutumikia kifungo cha...
Naanza kujitolea kutoa elimu bure humu JF kwa kipidi chote nitakachokuwa likizo. Leo naanza na hili.
Jua haki yako unapokamatwa na polisi
Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe...
Hello jamii forum!
great to read fro you, I wish to write something, just like a proposal about election expenses Act, to what extent the law achieve its objective, was there any need to enact...
Wadau, leo asubuhi nikiwa mtwara stendi kwenye bus la sumry kabla ya safari ya kuja dar kuanza, aliingia ndani ya bus askari mwenye cheo cha koplo akajitambulisha na kuanza kutoa maelekezo kwa...
Waungwana naomba mawazo yenu.
Kuna dogo langu hivi ninavyoandika liko Segerea mahabusu kwa tuhuma za Cyber Crimes(Limekwiba kwa mtandao).Kifupi nimetoka nalo mbali ikiwa ni pamoja na kulitafutia...
Kuna mtu anataka kuongeza jina ambalo halipo kwenye vyeti vyake vya shule. Hii anataka kuifanya kwenye ajira baada ya kugundua kuna mtu wako idara moja na majina yao ni yale yale.Ana birth...
Ni siku moja tu baada ya kufariki mwanafunzi wa mwaka wa tatu huko COED, usiku wa kuamkia leo kijana mwingne wa mwaka wa pili amefariki na wenzie kadhaa kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi maeneo...
Child Act 2009 inadefine mtoto Kama "any person below the age ov 18" na juvenile court inatambua mtoto (or young persons) ni Yule mwenye 16 yrs n below..., sasa mtu Wa miaka 17 tunamuweka wapi...
Waungwa naombeni msaada wa kisheria ili niwashtaki rais na wabunge wa ccm kwa kushindwa kulinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mkumbuke kwa mujibu wa viapo walivyokula ni kwamba...
ni kuhusu arthi,ni mmiliki wa ardhi kwa muda mrefu ila nimekabidhiwa miaka mitatu iliyopita na mzazi.tatizo linakuja katika hiyo ardi kajitokeza mtu na kudai yake.je sheria inasemaje kuhusiana na...
Shangazi Faiza,
Sikuweza kuingia jukwaa la hoja nzito ili kuijibu hoja yako ya uraia wa Nyerere.
Tanganyika ilikuwa siyo colony per se ilikuwa ni League of Nations Mandate (together with British...
Salaam wana JF.
Tafadhali wataalamu wa mambo ya sheria, naomba msaada wenu wa kisheria. Hivi polisi ngazi ya Wilaya au Mkoa akizuia shtaka la mlalamikaji lisifikishwe mahakamani, ni kitu gani...
Mahabusu Alli Nuru (Mwasa)Mkazi wa Chang`ombe Dodoma akiwa amezungukwa na Askari polisi wa kikosi cha Mbwa wakimsihi aondoke chini ya bendera ya Taifa alipokaa jana baada ya kujipakaza mwili wake...
ikiwa mtu anaingia tz kwa mara ya kwanza unaweza akasea hakuna wanaojua sheria,tunakuwa fooled ktk mengi.watu wanakuwa charged wrongly ili watoke mfano kesi ya aliyekuwa mkuu wa polisi kanda ...
Je, kimbilio la mfanyakazi ni wapi hasa pale ambapo wanaohusika katika ishu ya ubaguzi na unyanyasaji ni mkuu wa idara na meneja wa kampuni?
Imekuwa sasa kudhalilishwa kazini na kushushwa vyeo...
Pengine tufikie hatua tuseme ukwl bila kujali kuangaliana.Nawashangaa sana mnaokesha mkidai katiba ibadilishwe,huwez kuoa/kuolewa na mke/mme mwingine ndio umumwache ulienae,ni lazima umuache...
Waheshimiwa mimi ninaishi na majirani wawili tunaopakana mpaka wa viwanja vyetu. Na wote tunatumia njia moja kufika majumbani kwetu na njia hiyo inaishia kwenye kiwanja changu. Majirani zangu hao...