Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu wandugu jukwaani. Natumai wote tu wazima.
Nilikua napenda kujuzwa kwa yeyote mwenye tetesi na habari ya kesi ya Jerry Muro aliyekua mtangazaji wa TBC. Mda umeenda na sijajua imefikia...
Habari waungwanaNaomba msaada wa hili swala kwa wazee wa fikra pevu, kuna rafiki yangu alizaliwa nje ya nchi baadae familia ikarudi tz, akasoma primary mpaka college hapa nchini, juzi alienda...
Napata shida katika hili kwa sababu gani nasema hivi Watanzania tulio wengi atuzifahamu sheria ya nchi yetu yaani(katiba) sasa kumekuwa na tabia ya watu wengi mno kusema wanadai haki kwenye mambo...
Kwa wale wanasheria embu tupeni ufafanuzi na vigezo gani vinaangaliwa katika kutoa hukumu. Nimesoma kwenye habari leo kwamba meya wa zamani wa Rwanda aliyehusika kwenye Mauaji ya Kimbari ya Rwanda...
Nimestushwa na habari iliyotoka katika gazeti la Nipashe Jumamosi tarehe 17 April 2010, ukurasa wa tatu kuwa mkuu wa mkoa Kigoma ametuma mapolisi na maafisa wa usalama wa taifa kufunga na kumtoa...
Wanasheria naomba mnijuze hili. Jana nilikuwa High Court ila jambo moja limesumbua akili yangu! Kuna mtuhumiwa alifunguliwa charge ya MURDER, aliposomewa shtaka lake mbele ya jaji akakana...
Wadau nimepitia judgement ya dowans,aisee kumbe wanaharakati walio enda kuweka pingamizi pale High Court kupinga malipo yasifanyike sijui hawakusoma kwanza sheria inasemaje au basi tu walikua...
Habari wana jamvi,
Nimepata hii habari (hapo chini) kutoka kwenye chanzo nilichokiweka.
Kama unavyoweza kuona, penye nia pana njia. Hawa wenzetu Waganda wemekuwa kwenye mlolongo wa kesi na...
E bana eeh, kwenye hii form ya Scholarship for Masters jamaa wanataka nisubmit legalised copy ya cheti changu.
Sasa sijajua hii legalised copy ndiyo kitu gani?? Je hii ina tofauti na certified...
KUALA LUMPUR, 22 November 2011 - The Kuala Lumpur War Crimes Tribunal (Tribunal) entered its fourth and final day of hearing war crimes charge of Crimes against Peace against George W Bush...
Dear members,
Let us discuss about this mess, cyber crimes and our laws...we are already in digital era, but is our law prepared to curb the possible harms that may comes together with the...
The Kuala Lumpur War Crimes Tribunal (Tribunal) entered its third day of hearing war crimes charge of Crimes against Peace against George W Bush (former U.S. President) and Anthony L Blair...
Hi, in Banks when borrowers offer their properties as securities under Legal Mortgage; in the event of default is it legal to sell a registered property immediately on auction even without going...
Heartache for woman denied justice after rape
Ms Monica Wanjiru was raped by people she knows but police arrested her for the crime instead of the culprits. Her search for justice seems elusive...
By Edna Mubiru
South Africa has a robust media, a strong civil society and an independent judiciary. These are the three pillars needed to fight corruption.
However, one of the pillars...