Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wadau, mwaka 2008 Mahakama ya Kazi ilitoa hukumu dhidi ya mgomo wa Waalimu kupitia CWT saa 8 usiku! Hiyo ilikuwa historia ya pekee nchini mwetu. Leo huku Arusha, inasemekana Mahakama imegoma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajf wenzangu naomba mnieleweshe hili, ni vifungu gani vya Criminal Procedures Act vinawapa Police wenye rank ndogo kuendesha mashtaka as Public Prosecutors tofauti na sheria inavyotaka eti kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada wa kisheria, mwajiri anapokutuhumu kwa kosa flani kwa kukuandikia barua na wewe ukamjibu halafu anakaa mwaka mzima bila kukujibu badala yake anaunda tume kukuchunguza baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana jamii, nahitaji msaada wenu juu ya hili! je naweza kosa haki yangu kwa kutokujua sheria? sikulipia mzigo wangu insuarance, now umepotea, naambiwa siwezi rudishiwa exact value ya mzigo wangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Naomba mwenye reference ya wapi naweza kupata sheria ya dhamana atoe hapa, au kama anayo aweke hapa, maana nimesoma habari ya Lema na kushtuka pale hakimu alipogoma kukubali dhamana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tulikupenda na tulikuhitaji lakini Mungu ana haja nawe. Itatuchukua muda sana kukusahau. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe
0 Reactions
2 Replies
2K Views
International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) The Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) is currently preparing its employees psychologically through counselling sessions and empowerment...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Wanaojua naomba mnijuze kuhusu hili maana limemtokea rafiki yangu
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu naomba kujua kama kuna maximum probation period, na je mtu aliyekaa kwenye probation time zaidi ya miezi 20,job termination yake itakua sawa na yule aliekaa kwenye probation time for 6 months!!!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni jambo la kusikitisha jinsi Watanzania, hasa sisi watumishi wa serikali, tunavyoendelea kukandamizwa na baadhi ya viongozi wa serikali walio madarakani lakini tanaogopa kutoa malalamiko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hello wanajamii forums Jukwaa la sheria Naomba kuuliza je kampuni inaweza kushitakiwa kwa makosa ya jinai na ya civil pia naomba kujua kama member wa kampuni anaweza kuwa agent wa kampuni
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Wakuu hapa mtaani tumeanzisha kukundi cha kijamii cha kusaidiana kwenye shida na raha. Nimepewa jukumu la kutengeneza katiba itakayosimaimia hiki kikundi chetu. Naomba msaada wa sample ya katiba...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ninataka sheria ila sijui tofauti ya enforcement of law na law
0 Reactions
2 Replies
2K Views
How and when received laws can be applicable in our courts of Tanzania?atakae toa mchango naomba anipe na references/source please!natanguliza shukran.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116539 E-mail: press@ikulu.go.tz Website: www.mawasilianoikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425...
0 Reactions
325 Replies
41K Views
Naomba kujua ile sheria ya kutunza mazingira ya ziwa kama Victoria ambayo zamani tulijua inasema ni meta 30 na siku hizi baadhi ya mamlaka zinasema ni meta 60 inasemaje? Hizi meta 60 au 30 ni kwa...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
je sheria za mazingira zinakidhi mahitaji ukizingatia na changamoto za kimaendeleo kila kukicha? hususani maeneo ya mijini na sera ya kupanua miji kwa mfano jiji la arusha na mchakato wake wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mm ni kat ya wanafunz[equivalent] waliopata chuo nikakosa mkopo; kilichoniuma zaidi ni kwa nn bodi icnge2ambia kabla ya kufanya aplication kuwa eqvnt hatutapata mkopo? matokeo yake wanasbr...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa, naomba kujua majina ya majaji wa MAHAKAMA YA Rufaa tANZANIA wa sasa .
0 Reactions
6 Replies
5K Views
jamani naombeni mwenye link ya sheria ya mabadiliko ya katiba kwa kiswahili...asanteni sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…