Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
wataaalam wa sheria
Tumesikia tunaambiwa taifa etu halina wataalam wa kutosha wa kuwezesha
kuandika/ kunegtioate mikataba yenye manufaakwa tifa
Tumeshuhuhua utata wa mikataba miubwa ya...
Natanguliza shukrani zangu wana-jukwaa...mimi ni kijana ambaye nimemaliza chuo kikuu mwaka huu. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimesoma elimu yangu yote mpaka hapa nilipofika kwa jina la...
Wanajamii naomba kujuzwa nini athari inayoweza kutokea iwapo mkataba uliosaini ktk ajira umeisha,mwajiri hasemi lolote ila anaendelea kutoa majukumu ya kazi tu na analipa mshahara kama kawaida.Je...
hodi jamvini,great thinkers!!
ndoa yangu ni ya kikristo na imedumu kwa miaka 8 sasa na kupata mtoto mmoja wa kiume wa miaka 6. kumekuwa na kushutumiana na kutoaminiana mimi na mke wangu kwa muda...
A man convicted of a 1998 terrorist strike on the U.S. Embassy in Tanzania has won the right to sue the federal government over tight restrictions on his visitors and letter-writing at the...
Ndugu wana jamvi naomba kujuzwa sheria ya kumuhamisha mtu katika makazi yake kima cha chini kabisa ni kumlipa shilini ngapi? Na vigezo gani vinaangaliwa kwa ujumla unapomtoa mtu katika makazi yake...
Naomba kujua yafuatayo sheria inasemaje.
Mfano mwanaume ameoa mke wa ndoa na hawana watoto kabisa na ikatokea yule mwanaume akafariki na wakati kabla hajafariki aliacha osia kuwa atakayeridhi mali...
wanajf mi natafuta nikinunue kitabu cha human rights in tanzania cha chris peter maina nimezunguka maduka la dar es salaam printers, tanzania publishing house,scolastica bookshop bila mafanikio...
Foreigners owning huge tracts of land, whose lease is about to expire, are likely to lose their prized assets as the government starts to enforce the law on land ownership.
The move will...
Kipindi cha UNU ( Usalama barabarani na Uraia) - kinaendelea sasa hivi TBC.
Traffic anafundisha raia usalama na utumiaji Mzuri wa barabara.
Nani asiyejua chanzo cha matatizo makubwa...
Leo mida ya saa moja na nusu nilikuwa napita barabara ya New Bagamoyo pale mitaa ya Lugalo, kulikuwa na kifoleni cha kiaina. Basi km kawaida watu wa pikipiki wakawa wanatanua, kufika hapo lugalo...
JUGDEMENTS OF AMATUS LIYUMBA
IN THE RESIDENT MAGISTRATES COURT OF DAR ES SALAAM
AT KISUTU
CRIMINAL CASE NO 105 OF 2009
REPUBLIC
VERSUS
AMATUS JOACHIM LIYUMBA
JUDGMENT OF...
Katika hukumu yake yenye kurasa zaidi ya 100.Jaji Mushi wa Mahakama kuu,ametupilia mbali maombi ya Tanesco katika kuipinga tuzo iliyotolewa Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi.Ninatafuta nakala...
Suala la kuwalipa tuzo dowans za mabillion ya shillingi linanipa mashaka mno na watu tuliowapa dhamana ya kuliongoza taifa hili, juu ya uzalendo wao na jinsi gani wanavyojitolea kwa manufaa ya...
Wamemuua mchungaji wa kimasai,ndugu zake wamedai hana hatia yoyote ,wamegoma kuzika mpaka aliyemuua akamatwe! RPC Morogoro adai aliyeuawa alikuwa mwizi sugu wa Ng'ombe.Source ITV taarifa.
Leo asubuhi jamaa yangu alikuwa amekuja kuchukua gari yake akielekea Zimbabwe. Alipofika kwenye kituo kimoja km 20-30 hivi kabla hajafika Tunduma mpakani askari wa Tanzania wakamsimamisha na...
Hivi kwa MoU kati ya wakristo na serikali "serikali imevunja katiba ibara 19 inayosema .."serikali haina dini......na shughuli za kuendesha taasisi za dini zitakuwa nje ya serikali...."
Je..fedha...