Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu Wakuu wenzangu naomba kuuliza Swali hili je Sheria za Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kuhusu Mtanzania kuwa na Uraia wa nchi mbili hapo kwetu imepitishwa na Serikali...
Jaji Aliyemhukumu Nguza "Babu Seya" Akana Tuhuma Kuwa Alishinikizwa Na Kiongozi Mmoja Wa Serikali
Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Thomas Mihayo, jana aliukana uvumi ulioenea kuwa...
Katika maisha nimejifunza kuiga mambo mazuri. hili la kuwa na mwanasheria wa familia nafikiri ni moja ya hayo ila sijui wanapatikanaje na kwa juu juu pia wanaojua wanaweza kunijulisha hili liko...
Ndugu zangu wanaJF, nnategemea kupata 1st degree ya sheria(LLB) next year then after nategemea kwenda kujiunga na law school of tz but da problem z dat i dont know the procedures, qualifications...
Katiba inatamka Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar,cha ajabu kuna mamlaka zinaitwa za Tanzania na wakati huo huo,Tz visiwani nao wanaanzisha mamlaka hiyo hiyo,ila kwa jina la...
hivi karibuni nimeona kwenye web ya heslb kwamba equivalent entry candidate ambao hawasomi ualimu na sayansi siyo eligible candidate kukopeshwa elimu ya juu nauliza wanajf nimeelewa sahihi ...
Jamani wa jamii Forum naombeni msaada kama naweza kuwashtaki hawa Tanesco, hapa maeneo ya Tabata umeme hauna mgao, dakika moja unawaka, dakika moja haupo kwa siku unaweza kukatika na kuwaka hata...
Sheria yetu inazungumziaje juu ya ajali,
na nini hatma ya wanaofariki kwenye ajali zinazosababishwa na uzembe wa wakaguzi.
( wakaguzi ni kuanzia fundi, dereva...
KATIKA jamii ya makabila mengi ya Kiafrika kumekuwepo mtazamo kwamba mwanaume akishalipa mahari kwa ajili ya kumuoa mwanamke fulani hata kama yeye mwenyewe hana habari au hapendi, atapaswa akubali...
Naomba maelezo yenu wanasheria....kama wenza wa ndoa ya kikristo wametengana rasmi na kugawana mali zilizopo wakati huo lakini baadae (wakati wowote post separation) mmoja wao (mume au mke) akiwa...
By Alex Ndegwa and Judy Ogutu
Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta has taken a bold and potentially risky move, which will see him cross-examined as a witness at the International Criminal...
Wadau,endapo mtu anafariki je mrithi au msimamizi wa mirathi pia ana haki ya kuaccess mail accounts zake na membership/profiles zake ktk social networks?
Je,anaweza kuobtain court order na...
Ndugu wana Jf habarini za leo,
Nina ndugu yangu amefungwa miaka 15 tokea tarehe 8 mwezi wa pili mwaka huu kwa kosa la kupiga roba na kupora simu katika mahakama ya Mwanzo,ikumbukwe kua hukumu...
KAMPALA
Day Two of plea-taking at the International Crimes Division of the High Court yesterday saw surprises when two suspects pleaded guilty to terrorism and conspiracy to commit terrorism...
Hivi kwa mfano mimi nimejenga nyumba na nikaipangisha kwa mtu halafu likatokea tatizo kwenye hiyo nyumba;labda kuungua moto kulikosababiswa na uzembe wa mpangaji; wakati ambapo kwenye mkataba wa...