Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Hivi mnahabari kuwa pengine hizi kelele za kubadili katiba zinabarikiwa na Wazungu?!!! Vijana tufumbue macho, historia inamueleza mzungu kama mtu wa uchu wakututawala toka enzi kiakili na kwa kila...
Baada ya kuona tangazo la kazi gazetini rafiki yangu aliandika barua na kuomba kazi hiyo kama maelekezo yalivyotaka. baadaye aliitwa kwenye usaili wa kwanza akafanikiwa kupita kwani waliomba zaidi...
Haar za jioni wakuu na poleni na majuku ya wiki nzima. Kuna zimevuma sana mwishoni mwa wiki hii kua ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Amatus Liyumba...
Ndugu wapendwa wana JF, naomba msaada wenu, yeyote mwenye sheria inayohusu kufanya biashara nchini kwa kutumia fedha ya Tanzania tu anipatie. Hivi sasa kumezuka sana tabia ya wafanya biashara...
Luhanjo atumiwa kukaidi amri ya Mahakama Kuu
Na Mwandishi Wetu
UONGOZI wa Chama cha Muungano wa vyama vya wakulima wa chai Lupembe (MUVYULU) chini ya katibu wake Bw. Medeck Mhomisoli...
Wana JF, hivi hizi daradara, Bajaji na bodaboda zina kibari cha kuto kufuata sheria. Maana mara kwa mara tunasikia vyombo vya dola viki sisitiza kuwa yeyote atakaye tanua barabarani atachukuliwa...
Je kama mfanyakazi na una uanachama NSSF,PPF etc. Je kuna uwezekano wa kuhama uanachama sehemu moja na kwenda kwingine? kwa mfano: UPO PPF na UNATAKA KUHAMIA NSSF; Pia kama kuna sheria husika...
Nashangazwa na hawa jamaa wa CUF,mwaka 2005 CDM waliruka angani kwa kampeni wenyewe wakaponda,katika chaguzi ndogo hasa ile ndogo ya busanda badala ya wao kufanya kampeni kisasa na kwa mahitaji ya...
jamani kunakitu nataka kufahamu kati ya wakili wa serikali na wakili wa kujitegemea mnataka kunishawishi kwamba wakili wa serikali haijui vyema kazi yake au huwa inakuwaje mana 80% ya kesi...
Kaburu wa kampuni ya uranium katika kashfa nzito ya ubakaji
Mwandishi Wetu
Ruvuma
15 Jun 2011
Toleo na 190
Abaka visichana vidogo wilayani Namtumbo
DC akiri kwamba wageni hao ni hatari...
ni siku kadha waasi wamekuwa wakinyemelea nchi ya ghadafi huko libya kwa nia ya kumpora mafuta ambayo ndio chanzo kikubwa cha mapigano hivi ni kweli ndungu zangu, kisheria ni kweli kwamba mtu...
Wanajamii rafiki yangu tuko nae kazini ameshitakiwa na mkewe kwa kosa la kupiga na kumjeruhi jino, jino limelegea. Yuko nje kwa dhamana. Je sheria inasemaje kuhusu adhabu ya mtuhumiwa. Ni kifungo...
Mimi pamoja na familia yangu, tumedhurumiwa ardhi na mwekezaji! Story ilikuwa kama ifuatavyo:
Mama yetu aikuwa na ardhi iliyoanzia barabarani na kwenda umbali wa mita kama 400 hivi hadi kufikia...
State has removed my security detail, says ex-Chief Justice
Send to a friend
Tuesday, 23 August 2011 22:02
digg
Former Chief Justice, Mr Augustino Ramadhani,
By Sylivester Ernest
The...
source: ippmedia
Retired Chief Justice Augustino Ramadhani has urged decision-makers in the country to make right decisions at the right time when defending peoples rights.
He made the...