Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
By Hillary Nsambu
THE East African Court of Justice has directed the Communitys Secretary General to immediately convene a meeting of the Council of Ministers with a purpose to re-establish...
President Museveni has insisted on introducing legislation in Parliament whose effect will be to scrap the constitutional right to bail for certain offences.
Mr Museveni told NRM party MPs...
My dears,
Many of us withers (like a chicken that stagger after some waters has been poured at it) when arrested for some accusation. I therefore deem it expedient to use this opportunity to...
Four elderly Kenyans won court approval Thursday to sue the British government over the brutality they claim they suffered at the hands of the British army during the 1950s Mau Mau uprising...
wapendwa wana sheria,
Nasikitika kuwa watu huwa wanaomba msaada wa kisheria kupitia JF, mtakubaliana na mimi kuwa response huwa ni chache na hazitoshelezi. Angalia threads za jukwaa la sheria huwa...
Kampuni moja ijulikanayo kama Kingsway International au maarufu kama American Garden inaajiri wafanyakazi bila mkataba wowote, na wakati wowote inafukuza wafanyakazi bila kufuata sheria ya kazi ya...
ninajamaa yangu alimkopesha mtu pesa kiasi cha shilingi 420000tsh. Baada ya wiki kupita mtu aliyemkopesha akamfuata tena na kumuuliza kama kunakiwanja kinauzwa maeneo ya morogoro road. Jamaa yangu...
Habarini ndugu zangu; Nataka kufahamu (a) iwapo umenunua mali ambayo iliibiwa mahali na ukakamatwa nayo sheria inasemaje? (b) Iwapo aliyeiba hiyo mali ambayo umeuziwa kapatikana, hapa napo sheria...
Afisa Uhusiano wa Jeshi la Polisi Zanzibar Inspekta Mohammed Mhina, amesema kuwa baada ya kuhojiwa, Viongozi hao waliiomba Kamati hiyo kutowataja hadharani majina ama madhehebu yao kwa kuhofia...
please am making research on the occupational health and safety Act 2003 but am having trouble on understanding interpretation of work place. While i understood it to include hospitals one of my...
Naomba nifahamishwe kwamba diwani akijiuzulu udiwani, kwa kawaida uchaguzi wa diwani mwingine badala yake unatakiwa ufanyike baada ya muda gani tangu kujiuzulu kwa yule diwani?
Kwa mfano, katika...
Wadau kuna issue imeibuka hapa, dada mmoja kaniomba ushauri juu ya mambo yafuatayo;
1. Je iwapo mahakama ikatoa kibali cha kutolewa talaka, mtalakiwa (mke) ana haki ya kugawana mali ambayo...
Bia zimeandikwa Haziuzwi kwa Mtu mwenye Umri Chini ya Miaka 18
Kumbi za muziki zimeandikwa hivo hivo. Lakini bado unakuta vitoto vidogo viko bar vinagonga ile mambo alafu ukiingia kumbi za...
Taarifa, Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP) Eliezer Mbuki Feleshi atakua mgeni katika kipindi maalamu
kitakachooneshwa na kituo cha Televisheni cha ITV muda mfupi kuanzia sasa.
Kuna rafiki yangu kapewa barua na mwajiri kuwa anahamishwa kituo cha kazi kwa kuwa ni mtovu wa nidhamu. Tafsiri yangu huu ni uhamisho wa adhabu. Na ati hatakiwi kulipwa stahili zozote za uhamisho...
Nina mshikaji wangu huu mwaka wa tano anateseka kudai mtoto wake bila mafanikio. Stori ilikuwa hivi:
Yeye kaoana na mmarekani walikutana alipoenda huko kimasomo, bahati mbaya mkewe aligundulika...
Habari za mwisho wa wiki wana JF,
Naomba msaada wa kisheria kuhusu hili:
Kaka yangu alizaa mtoto nje ya ndoa, na akamtambulisha huyo mtoto kwetu sote hadi kwa wazazi wetu na ndugu wote...