Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mahakama Kuu haina mahabusu ya wanawake
Imeandikwa na Veronica Mheta, Arusha; Tarehe: 29th April 2011 @ 23:47 Imesomwa na watu: 65; Jumla ya maoni: 0...
Msekwa: Yafaa spika kuwa mwanasheria, Spika Makinda asema si lazima
Elias Msuya
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa amesema ni vigumu kwa mtu asiye na taaluma ya sheria kuliongoza Bunge akiwa...
* Hahusiki kesi ya Mahalu
Na Mwandishi wetu (Gazeti la Uhuru)
Thursday, 28 April 2011
IKULU imekanusha habari kwamba imekuwa ikihaha kumsafisha Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa...
Mimi ni mwajiriwa ( permanent & pensionable) na mwana ppf. Jambo la ajabu mwajiri anataka kuniweka kwenye ajira ya mkataba, je kwakuwa mimi kwa maana nyingine sitakuwa wa ajira ya kudumu na kwa...
CCM imewahi kuiba sera ya CUF ya kufuta kodi ya kichwa, pia imeiba sera za chadema kuhusu katiba, kilimo na udhibiti wa matumizi ya serikali.
Binafsi naamini sera huundwa baada ya kufanya...
MAAJABU YA DUNIA MBUNGE WA WADI MWANYANYA KUINGIA BUNGENI KWA 19%?
CCM wanatamba kwa ushindi kama huo
Ni sawa na asilimia ya 19% ya wapigakura (walipaswa kupiga kura watu 4,059 na yeye kapata...
Jamani mimi naishi kwenye Flat na nilikuwa na mpango wa kusajiri kampuni ila kwa kipindi kama cha miezi sita nilitaka kutumia adress ya nyumbani kwani ambayo ni flat je sheria inasemaje kuhusu...
'House Girl' jela kwa kuiba mtoto
Na Rehema Maigala
MSICHANA wa kazi za ndani Khadija Athumani (27), mkazi wa Kimara amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa kosa la kuiba mtoto wa...
habari zenu wanasheria na wanaJF wote kwa ujumla.
naomna mnisaidie tafsiri ya sheria na kanuni za bunge pale PM kama kiongozi wa shughuli za serikali bungeni anapotoa jibu la kukataa hoja ya...
Hakuna kitendo kilichonishangaza kama cha Jemsi Mbatia kufungulia kesi H. Mdee hasa kwa kuwa wote wanajiita wapinzani na lengo lao ni kuitoa CCM madarakani. Kitendo kile kinanifanya kutambua uwezo...
Habari zenu wadau.
Katika pitapita zangu baadhi ya maeneo ya kanda ya ziwa nimejionea jinsi wanyama kama punda na ng'ombe wakifanyishwa kazi ngumu sana!!!, na inashangaza kuona wanaadamu...
Wednesday, April 20, 2011
Na Mustapha Kapalata, Nzega
KATIBU MKUU wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)Dkt,Willibrod Slaa amemsimamisha kazi katibu wa wilaya ya Nzega wa chama hicho...
Walengwa wakubwa wa lengo hilo ni wimbi la Wzanzibar wanaoishi nchi za nje ambao wengi wao wana raia zakigeni. Hii imekuja kutokana na fununu zakuwa oganazation ya Wzanzibar ya kujioganizi...
Ni ukweli kuwa vyama vya siasa vimeundwa na binadamu, hivyo kuwepo au kutokuwepo kwake kunategemea akili za binadamu. Tofauti na ardhi na vyote vilivyomo ambavyo kwa pamoja hujulikana kama nchi...
Alishawahi kusema mwenyewe na jana Dr Slaa kakumbushia kuwa RA ana kipato cha zaidi ya Tsh Billion 240 kwa mwaka!Hii ina maana kuwa RA anaingiza faida ya zaidi wa Tsh million 657 kwa siku!
Naomba...
DIWANI wa Serengeti, Chacha Samwel Gibewa (Chadema) amesalimisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Enos Mfuru bunduki aina ya AK 47 ambayo amekuwa akimiliki kinyume cha Sheria.
Kiongozi huyo wa...
Jaji Bomani azilipua Kampuni za madini Tuesday, 19 April 2011 09:31
Ramadhan Semtawa
Mwananchi
MWANASHERIA Mkuu Mstaafu Jaji Mark Bomani, amezitaka kampuni za madini nchini kuwekeza asilimia...
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh Aggrey Mwanri (mwenye suti) akiwa anasimamia kuwaweka chini ya ulinzi vijana watatu aliowakamata kwa kosa la kula maembe na kutupa maganda barabarani jijini Arusha...