Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wabunge wataka madiwani wakopeshwe magari Send to a friend Saturday, 16 April 2011 08:31 0diggsdigg
Boniface Meena
WABUNGE wa CCM, wameishauri serikali ifanye jitihada za kupeleka fedha za...
Je mpangaji katika nyumba analindwa vipi na sheria dhidi ya wenye nyumba wanaopandisha kodi za nyumba kiholela?. Endapo mpangaji anaamini kwamba mwenye nyumba amepandisha kodi kwa kiwango kikubwa...
Vigogo 23 kortini kwa kutotangaza mali zao
Imeandikwa na Na Halima Mlacha; Tarehe: 11th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 55; Jumla ya maoni: 0...
Kesi ya kumtishia mke wa Mbowe yaunguruma
Na Angelina Mganga
KESI ya kutishia kuua kwa maneno iliyofunguliwa na mke wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...
Wakuu tafadhali msaada kwa huyu mkubwa hapa chini ni ndugu yangu kaniomba msaada na mie sio mtalaam wa sheria msome hapa chini:
"Nimefungiwa ofisi na mwenye nyumba wangu bila taarifa (Notice)...
Habari wanasheria,
Naweza kupata msaada wa 'utaratibu wa kisheria' unaotakiwa kufuatwa pindi mtu anapofanyiwa RETRENCHMENT au Redundancy kazini?
Aksanteni,
K. Tise.
Jamani naomba kuuliza,mdogo wangu amezaa na Mwanamke mmoja ambaye hawakuona nae na sasa mtoto ana miaka minane!
Lakini cha ajabu huyu mtoto anavyozidi kuwa na umri mkubwa huyu dada ndo anavyozidi...
Hi
Kwa mfano job advertiser katangaza nafasi ya kazi in a certain organization; watu wakaapply baadae ikaja kujulikana that the company is not existing
Is nt the advertsier bound to do...
WADAU NAOMBA MNISAIDIE UFAFANUZI WA KISHERIA KUHUSU NI WAFANYAKAZI WANGAPI WA KIGENI WANAORUHUSIWA KUFANYA KAZI KATIKA KAMPUNI MOJA HAPA NCHINI??
HATA KAMA KAZI WANAZOFANYA ZINAWEZA KUFANYWA NA...
Hi
Naombeni ushauri wenu:
Kama mtu bado yuko kwenye probation ( offer Letter inasema six months probation time); na imekuwa 1.5 months of probation mpaka sasa hivi.
Kazi yako ni recruiter...
Nimekua msomaji mzuri sana wa vitabu hadithi za kubuni hususan vya mtiririko wa kina Marehemu Eddie Ganzel...baada ya wale wakongwe kupita kuna vijana wamekuja kuibuka hapa miaka ya karibuni ambao...
Ndugu wana JF Naomba kujulishwa hivi inakuaje mtu umeajiliwa katika kampuni ya mtu binafsi na wewe ukiwa ni Mwajiliwa wa kwanza katika ofisi hiyo yaani ndo umeanza nayo,sasa mwenye kampuni...
Expatriates??
Hi
I will appreciate your views on the following:
From the little knowledge that i have on law; i think we are supposed to have Expatriates for the rare professions and not for...
Hivi wana Jamii Forum kwani babu wa Loliondo asishitakiwe katka mahakama ya kimataifa? wengi watanishangaa kwa maoni yangu lakini naamini na ninachokisema na nitakisimamia. Babu wa loliondo...
NAOMBA KUFAHAMU KAMA MFANYAKAZI AKIGUNDULIKA KUWA ANALIPA KODI KIDOGO KULINGANA NA MAPATO YAKE NI HTUA GANI ANAWEZA KUCHUKULIWA NA JE KODI INAYOTAKIWA KULIPWA INATAKIWA ITOKANE NA MAPATO YOTE AU...
Wana jamii,
Salaamu, jamaa yangu alikuwa na kesi mahakama ya Ardhi sasa anasema siku ya kusomwa hukumu alitajiwa tarehe tofauti na wakili. Baadaye alikuja kugundua kuwa hukumu ilishasomwa kama...
Na Esther Mbussi
WAKILI Edson Mbogoro anayemtetea Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika katika kesi ya kupinga matokeo iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo, Hawa Ngumbi, amesema...
Habari ndugu zangu. Naomba msaada wenu wa nini nifanye. Nimefanya kazi kampuni moja binafsi kwa miaka miwili, nilikuwa nikikatwa malipo ya PPF kwa muda wote huo hadi pale nilipoamua kuacha kazi...
Kabla ya kusababisha mauaji huyu jamaa amewatumia polisi wa wazo ku fubricate kesi hewa na mpaka sasa unapoisoma thread hii kuna kijana na mafundi wake ujenzi wako segerea kwa kesi hiyo kwa zaidi...
habar yenu wakuu. Napenda kuuliza kuhusu double jeopardy ambayo ipo kwenye fifth amendment ya US constitution. Kwa wale wasiofaham ni kwamba incase ukasingiziwa umeua halaf ukafungwa,ukitoka jela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.