Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Chadema to take legal action against ex-regional chairman
By The guardian reporter
12th April 2011
Comments
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) will take...
Jamani mi nimeshindwa kuvumilia. kuna tetesi nilizipata toka kwa mwanazuoni mwenzangu kuwa dada mmoja(kitivo kapuni) wa hapa UD, amezalishwa na mnene mmoja (jina kapuni)hv mwenye madigrii kibao na...
Ndugu wadau napenda kujua kama kuna sheria inayo simamia haki ya taaluma ya mtu na nafasi ya kazi alionayo kwa mwajiri wake. kwa mfano mtu mwenye digree tatu anaweza akaajiria kama forman kisheria
Kumekuwa na tatizo kubwa la wahusika kutokufanyia kazi mara moja taa za kuongozea magari barabarani zinapoharibika! Nafikiri ni zaidi ya miezi miwili traffic light za magomeni hasa ukiwa unatokea...
Hatimaye lile bunge tukufu leo limeanza tena vikao vyake mjini Dodoma leo, muheshimiwa mbunge wa Mbeya mjini AKA Sugu anashusha vina kuhusiana na makabila ya nchini Tanzania.
Dear colleagues,
I hope this will be of interest to us, read Damages awarded in first UK Twitter libel action | The Law Gazette
Meanwhile I am trying to get the judgement and share with you.
jamani kutoka na kuwa muda wa kukusanywa maoni ni mdogo, na waTZ wengine wako nje ya nchi, nimeweka thread hii itumike kutoa maoni huru ya katiba mpya.
nawakaribisha kwa michango yenu
Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi (National Election Act, 2010) pamoja na Kanunizi za Kupinga Matokeo ya Uchaguzi (Election Petition Rules, 2011, mgombea yeyote wa ubunge/udiwani anayetaka kupinga...
Miongoni mwa mambo yanayokera katika miji mingi ya nchi hii ni utaratibu usiozingatia sheria wala kanuni wa wachuuzi wanaovamia maeneo ya kandokando ya barabara, sehemu ya waenda kwa miguu, kwenye...
Ndugu wanaJF
Mtakumbuka siku ya jumamosi tarehe 2.4.2011,nilieleza jinsi nilivyomkamata na kumpeleka kituo cha polisi wakala aliyekuwa anakusanya ushuru wa maegesho ya magari kwenye kituo cha...
Akiwa anawasalisha hoja waziri wa habari na michezo amevionya vyombo vya habari vinavyochochea udini na kusema hatavionya tena bali hatua madhubuti zitachukuliwa dhidi yao bila kutaja majina...
MORE THAN HALF A BILLION SHILLINGS ALLEGEDLY STOLEN FROM A BANK CONVERTED INTO MOBILE PHONE VOUCHERS
A Dar es Salaam-based businessman has been charged with alleged fraud and theft of more...
Mara nyingi nimesikia watumishi wa serikali za mitaa wakituhumiwa kufuja mali za umma na vitu vinavyofanana na wizi. Hii pia ilishasemwa na mkaguzi mkuu wa serikali, wabunge nao karibuni kila...
agrements made by two parties for an illegal delivery of service, service delivered succesful bt after a few days it stops. One party wants his money back and the other cant return the money. What...
Ndugu zangu wanasheria nisaidieni ktk hili. Kuna Binti aliniahidi kuwa mke wangu, kwamba tutaoana. Ktk kipindi cha miaka minne nimekuwa nae km mchumba leo ananijia na kunikana, kumbuka kanipotezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.