Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
SIKU 16 kabla ya kufanyika wananchi kupiga kura, askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana, Dk Valentino Mokiwa amedai kuwa hivi karibuni alipelekewa rushwa ya Sh11 milioni na mtu asiyemfahamu ili...
Mtu anapokuwa na kesi ya jinai mahakamani na anayemshitaki akaandika barua kwa hakimu (mahakamani) kuwa hana mpango wa kuendelea na kesi kwa maana wao wenyewe wamesuluhishana hivyo hakimu...
Small budget stalls justice,says Minister Send to a friend Wednesday, 23 March 2011 22:50 By Florence Mugarula
The Citizen Reporter,
Dar es Salaam: Delays...
WAKATI bado anakabiliwa na kesi ya kufanya maandamano bila kibali mjini Arusha, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ameingia matatani kwa mara nyingine, safari hii Mahakama ya Wilaya ya Hai...
Waungwana nimeshindwa kuhamisha habari toka kidau.blogspot ili tuijadili.Habari yenyewe inataka Dr.Slaa ashtakiwe kwa kumuita Rais fisadi.Naomba mtaalam anisaidie.
Learned brothers...
Kuna maswali mbalimbali ningependa kuyaweka hapa kwa kusudi la kuyajadili na kupata mwangaza zaidi kuhusu hili swala zima la uraia. Hii imetokana hasa na debate kubwa iliyokuja...
Salaam wandugu!
Wadau naombeni msaada wa kisheria kuwa;-
1. Ni kifungu gani cha katiba au sheria inayomzuia mtumishi kama daktari, mwalimu nk kugombea nafasi tajwa hapo juu?
2.Anapaswa...
"binafsi ningeomba cv yake
ingawa si mzuri sana kwenye sheria lakini watanzania wengi naona wamekaa kimya na haka kajamaa ""üpelelezi aujakamilika"" kikiwatesa kwa kula hela za watu hata kama mtu...
Mamilioni ya DECI yalikuwa yanatunzwa ofisini-Shahidi
Na Rehema Mohamed
SHAHIDI namba sita katika kesi ya DECI, SP Suleman Nyakulinga amesema fedha zilizokuwa zikikusanywa katika matawi...
Na A.Salum,
Wanajeshi wa JWTZ wametembeza kipigo kwa kila mtu katika maeneo ya Jangonmbe .na kuendelea: eti madam wa mmoja wa wanajeshi hao ameibiwa kipochi.
Sasa tujiulize: kwanza tuna...
Wanajamii, nimekuwa nikijiuliza muda mrefu sasa na pia nimeuliza hata wa wasomi a sheria kirefu na asili ya abbreviation L.L.B(shahada ya kwanza ya sheria) lakini huwa sipati jibu. Ukiuliza...
Kwa mujibu wa sheria, mfanyakazi akipata ujauzito anaenda likizo ya uzazi (maternity leave) kwa siku 84, je ikitokea bahati mbaya baada au wakati wa kujifungua mtoto akafariki bado ataendelea na...
The United Nations Security Council has imposed sanctions on Libyan leader Muammar Gaddafi and referred Libya's crackdown on anti-government demonstrators to the International Criminal Court...
Je kipi kina uzito kati ya maadili na sheria katika kufanya maamuzi.
Mfano
Fundi bomba kaenda kutengeza kitu kwenye nyumba ya bibi kizee. kufika anamwambia bibi kize kifaa kidogo tu...
naomba kusaidiwa, je viwango vya mishahara ya tanzania ikoje, na je iwapo shirika linalipa chini ya kiwango cha serikali, hatua gani zichukuliwa?
Na je iwapo katika shirika especially ya kigeni...
Wanajamii poleni kwa majukumu,mimi niliibiwa pikipiki yangu ila ilikua na bima ya compressive.kuna kijana wangu alikua anaitumia kwa shughuli ndogondogo za nyumbani mchana.jioni akimaliza shughuli...
Ukienda mahakamani, unapocite sheria mbele ya Jaji unatakiwa kutumia kutumia chapter no, revised ed 2002 kwa mfano, The criminal procedure Act, Cap 20 RE 2002, Kwa upande mwingine Wabunge wetu...
Mfuko wa Jimbo kupingwa mahakamani
Na Gladness Mboma
MASHIRIKA sita yasiyo ya kiserikali yakiongozwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) yanatarajia kufungua shauri la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.