Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Najaribu kuangalia hali tuliyonayo watanzania kwa muda wote huo tangu tupate uhuru (kujetegemea kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni) naona hali ni mbaya kabisa laiti kabisa tusingekuwa na mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF Mimi ni mwananchama wa PPF, ninafikiria (na naamini nitaungwa mkono na wanachama wenzangu kwa hili) kuwapeleka mahakamani ili nihamishe michango yangu mahali pengine. Ni wanyonyaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
BAADA ya wananchi wa kata ya Ruaha katika Halmashauri ya manispaa ya Iringa kumtuhumu kwa ufisadi wa shilingi milioni 24 .6 za maendeleo afisa mtendaji wa kata hiyo Nuhu Feruzi ameamua kujiua kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wassira amvaa Dk Slaa juu ya mafisadi Christopher Maregesi, Bunda MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Stephen Wassira amemtaka Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilibrod Slaa kuacha mara moja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taarifa ambazo zimethibitishwa na kamanda wa polisi mkoa Simon Sirro, zinadai jeshi hilo linawashikilia watu sita ikiwa ni pamoja na mjumbe wa kamati ya siasa wa CCM Mkoa Ellen Bogohe wakidaiwa...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Naomba msaada kwa wanasheria. Nimezaa na binti ambaye hatukuweza kuoana kutoelewana kuhusu dini zetu. Aliwahi kunishauri tufunge ndoa ya serikali lakini kutokana na imani yangu hii ndoa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shahidi abanwa kesi ya kina Mramba Na Gladness Mboma MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtaka shahidi wa kwanza wa upande wa mashtaka Bw. Godwin Nyelo, kuwasilisha barua iliyokuwa ikitoka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Channel ten wametangaza katika taarifa ya habari asubuhi hii. Mkuu wa mkoa wa Mara amemkamata diwani wa Chadema katika kata moja wilayani Serengeti akiwa anamiliki bunduki AK47 kinyume na...
2 Reactions
72 Replies
7K Views
Hili swali nilimuuliza Dr.Slaa jana japo hakunijibu nimefurahi kupata habari hii.Nawashukuru sana CHADEMA kwa kulitambua hili na kuwasaidia wana Kaliua wanaonyanyasika mikononi mwa watoto wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeamua kuwaomba CDM japokuwa mimi ni CCM damu kwa kuwa wabunge wetu wa CCM wamekuwa ni watu wa kutetea chama ili kulinda nafasi zao wakati si ccm iliyowapeleka hapo bali ni wapiga kura wao ambao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
The Citizen Now that the Constitutional Review Bill has been withdrawn from Parliament, Tanzanians must reorganise themselves for further, more fruitful discussions on what content they would...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Wakubwa mimi nauliza hivi TAKUKURU wana mamlaka kisheria kuchunguza NGO yoyote tanzania iliyopewa fedha na wafadhili wa nje kuhusu tuhuma za mambo ya rushwa nk bila kuombwa na wafadhili au kwa NGO...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hili mnalionaje waheshimiwa mahakimu kutupilia mbali kesi zote zilizofunguliwa zidi ya wabunge wa upinzani cos jana waliona jinsi gani wabunge wa ccm walivyopambana kukataa maslai...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi sasa tunaona rasmi udhibiti wa habari unaofanywa kwa makusudi na kutuonyesha habari zile zinazoibeba CCM na serikali yake *ALHAMISI TBC ILIZUIA KUTUONYESHA MASWALI YA PAPO KWA PAPO NA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana kama kuna mtu ana copy ya muswada wa uedeshaji wa shughuli za mahakama ambao jana ulileta kizaazaa aturushie humu tuupitie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mume atishia kumdai mke wake mamilioni Imeandikwa na Na Christopher Gamaina, Tarime; Tarehe: 16th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 123; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Viongozi wa ushirika kortini wa uhujumu uchumi Send to a friend Saturday, 16 April 2011 08:37 Daniel Mjema,Moshi TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada niweze fahamu mambo muhimu wakati wa kuandika barua ya kuacha kazi.Nimepata kazi nje ya nchi yenye maslahi mazuri zaidi. Sheria inasemaje?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
na Mwandishi wetu KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amembana Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, kutaka alieleze Bunge kwamba zoezi la ubomoaji wa nyumba za wananchi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SEBASTIAN MRINDOKO, TOTAL of 3.7bn/- from 14 Tanzania Embassies is reported to be unaccounted for in expenditure anomalies revealed by the Controller and Auditor General’s (CAG) report. The...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…