Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Sharia forbids freedom of speech and of the press. Only certain speech is allowed in Islam, and none can be critical of Islam itself, or of the founder of Islam, Muhammad, or of any Islamic...
Ukijenga nyumba na kukaa hapo kwa muda mrefu, kisha baada ya miaka barabara mpya ikachongwa na kupitia karibu sana nyumba hiyo kiasi cha kuacha hatua chache. Hapa sheria inasemaje kama nyumba hii...
KUTOKANA na wadhifa aliokuwa nao mtuhumiwa wa kesi ya usalama barabarani ya kukabiliwa na shtaka la kuua inayomkabili Jaji wa Mhakama Kuu ya Tanzania, Protest Rugazia [56] jalaada linalohusiana na...
Hilaw!bodi ya elimu ya juu imeanzisha utaratibu wa kujisajili online kwa website ya olas.heslb.go.tz, pia kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na gazeti la mwananchi la tarehe 12 katika page 13...
Hapa Muheshimiwa Zombe anaelekea kulamba fidia ya 5 bilioni. Je huu ni udhaifu wa serikali kugeuka shamba la bibi?
Source: Zombe sasa kuishitaki serikali
Nani alaumiwe katika hili?
Jamani kwa wale mnaoijua sheria vizuri swala la kufumania ama kufumaniwa likoje kisheria?Nimeuliza hivyo makusudi kwa sababu mara nyingi sana wafumaniaje huwa wanavifungu vya sheria wao wenyewe...
Kampuni ya Quality Finance Corparation Ltd (QFC) amefungua madai ya fidia ya Sh. bilioni 18.7 Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Kampuni ya Kagoda Agriculture Ltd, kama hasara kwa kiuka makubaliano...
A Tanzanian woman was kept as a slave for four years in the London home of a retired doctor, a court has heard. Mwanahamisi Mruke, 47, who arrived from Tanzania in October 2006, was allegedly made...
The Attorney General has advised President Museveni to choose between sacking the nine ministers who were affected by a landmark Constitutional Court ruling and forwarding their names to...
Napata shida shida sana kuelewa kwamba inakuwaje serikali inapoteza kesi nyingi sana ambazo inafungua na kusimamiwa na wanasheria wake? Achilia mbali hizi za kifisadi angalia kesi za akina Zombe...
Mahabusu wajisaidia porini kwa kukosa vyoo
na Stephano Mango, Nyasa
MAHABUSU wa Kituo cha Polisi Lituhi, wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma wanajisaidia porini kutokana na ukosefu wa...
Jirani kwangu kuna mwanamke mmoja mke wa polisi alimpenda mvulana wa watu (both in camera). Mvulana huyo hakujua nia ya huyo mmama hadi siku moja alipoitwa na huyo mmama ndani mwake then huyo...
US legislation classifies Tanzania as source of ``conflict minerals``
Govt officials say it`s a mistakes and will ensure name is removed from list
The national economy faces an uncertain...