Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ni wazi bunge letu tukufu tulilolipa dhamana yakutuwakilisha linafanya kazi nzuri,lakini je imesimamia,inasimamia sheria zinazobana haki na maslai ya watanzania, kwa njia ya marekebisho ya vifungu...
Wana JF,
Kuna issue moja hapa huwa siielewi elewi hivi .... ni pale mtu anapoibiwa vioo vya gari kama labda site mirros na ambapo ukienda eneo la Gerezani (huwa wanaita mnadani) unavikuta vioo...
Mfanyakazi akipata kazi yenye maslahi zaidi anatoa taarifa (notisi) ya mwezi mmoja kwa mwajiri au mshahara badala ya taarifa na kuacha kazi, lakini mwajiri akipata mtu mwenye qualification zaidi...
Jirani yangu mwaka wa jana December aliripoti Polisi tukio la kutishiwa kuuwawa na mtu mmoja, pamoja na kuripoti mapema, Polisi walichukuwa muda kwenda kumkamata mtuhumiwa kitu kilichosababisha...
Wana Jf naomba ufafanuzi kuhusu malipo ya fidia kwa waathirika wa milipuko ya mabomu Mbagala & Gongo la Mboto, katika tukio la Mbagala wengi waliolipwa ni wenye nyumba zilizoathirika, je wapangaji...
Huyu Manji ni fisadi na wengi tunajua hilo. Huyu Manji anatetewa na Mabere Marando aliye mwanasheria wa CDM. Chadema inakemea ufisadi. Sasa uadilifu wa Mabere uko wapi, au pesa mbele maadili...
Msaada wakuu.
unapigiwa simu kwa no ya cellfon kwamba unaitwa kiuoni kwa shitaka.Nataka kujua ni utaratibu gani unatumika kumwita mtu kituo cha police.Takuwa na uhakika gani kama huyo...
Naombeni jamani msaada, kwani nimekua nikikopa kwenye tasisi flani za fedha. Nilipofikia kukopa milioni 7 waliniambia nilete kwanza milioni 5 ili kufidia sh. 1500000 iliyobakia katika mkopo...
Hbr wana JF natafuta mtu mwenye softcopy ya JUTASTAT ya 2010, kwa maana mimi niliyonayo haina sheria nyingi ie zote ambazo zimetungwa kuanzia mwaka 2002 na kuendelea hazipo hata kama kuna malipo...
Monday, 21 February 2011 21:34
ASEMA TANESCO, WIZARA YA MAJI WAMEKALIA NAO KUTI KAVU
Ramadhan Semtawa
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ametangaza msimamo wake mbele ya Kamati ya Bunge...
Manji sues govt over Dar prime beach plot Monday, 21 February 2011 23:32
By Bernard James
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Two years since the government permanently banned the sale or...
Wana JF nisaidieni, hivi enforcement mechanisms za kulinda haki ya mtoto dhidi ya ajira hatarishi kama zilivo katika Sheria ya Mtoto ya 2009 zinakidhi haja? Je do they embrance each and...
Huyu Prof Micahel Sandel wa havard napenda sana lecture zake
Kwenye video hii anaongelea mambo
Lying and principles
Contract
haya wansheria na wale mnaofutilia mambo ya dowans na mikataba...
17 February 2011
Tanzania Electric Supply Company has filed a petition challenging the International Chamber of Commerce (ICC) ruling, awarding 94bn/- to Dowans which was commissioned to...
Kuna kijana yupo gongo la mboto wazazi wake wote wawili wamelipuliwa na kufa kwa mabomu ya gongo la mboto, anatafuta wanasheria ili afungue kesi dhidi ya serikali kwa uzembe huu uliopindukia madai...