Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Sheria ya ndoa 1971 ibara ya 129(1) " ni jukumu la mwanaume kutunza watoto wake" sasa ktk ulimwengu wa usawa bila kuangalia vipato vya wanandoa kwani pia mwanamke anaweza akawa na kipato zaidi ya...
Shahidi aeleza mahakama watuhumiwa Kabla ya mauaji walidai dhahabu kilo 5 Friday, 04 February 2011 21:31
James Magai
SHAHIDI wa kwanza kesi ya maiti...
Mawakili wa Kujitegemea waaswa kutowakamua wananchi
Imeandikwa na Grace Chilongola, Mwanza; Tarehe: 4th February 2011 @ 23:50
MAWAKILI wa kujitegemea nchini wameaswa kutotanguliza maslahi...
Greetings,
Kuna Ofisi inafanya kazi ya Kukopa (interest 15%) na Kukopesha (kwa 20%).
Nataka kuikopesha hii kampuni. But ningependa nifanye hili legally. Je ni kivipi ninaweza kuji weka safe...
The Kenyan constitutional impasse
The Speaker of Kenyan House, Kenneth Marende has declined to award the prayers sought by Hon. Gitobu Imanyara fervently pleading for the four names nominated...
JK: Sitaingilia Mahakama
Imeandikwa na Gloria Tesha; Tarehe: 2nd February 2011 @ 23:59
RAIS Jakaya Kikwete amesema hataingilia kamwe uhuru wa Mahakama na badala yake ameitaka taasisi hiyo...
senior Constitutional Court official yesterday said all 70 MPs whose nomination was, in effect, declared to be invalid, null and void by the court must be de-registered by the Electoral...
Jela miaka saba kwa wizi wa mtoto
Na Livinus Feruzi, Bukoba
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kagera imemhukumu Sudi Isimail (20) mkazi wa Kashabo, Manispaa ya Bukoba kutumikia kifungo cha
miaka...
Ndugu wanaJF ninaomba msaada wa kisheria ili kufungua kesi ambayo nalenga washitakiwa kuwa ni wafuatao.
1)IKULU.
Rais wa Tanzania aliishahuri wibaya wizara ya elimu kuondoa mtihani wa kidato cha...
Makampuni ya simu yanapofanya kazi za Kibenki yanasimamiwa na sheria gani? Yaani, yanapotumika kununua vitu, kubadilisha, kuhifadhi na kuhamisha fedha yanaongozwa na sheria gani. Je yanaweza...
Zipo karibu taasisi 20 ambazo zimejiunganisha katika kupinga tuzo ya Dowans. Sijaelewa kwanini Chadema isiwe mojawapo. Nadhani litakuwa jambo jema kisheria na kisiasa kwa Chadema kuwa sehemu ya...
Nimeishi na mwenzangu kwa miaka 11,tuna 2kids na hatujafunga ndoa kutokana na conflicts za mara kwa mara.wife anasisitiza sana tugawane vitu,je sheria inasema nini kuhusu malezi ya watoto na...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE,
WAKATI WA KUADHIMISHA SIKU YA SHERIA
NCHINI, TAREHE 2 FEBRUARI, 2011
Mheshimiwa Mohamed Chande Othman...
ni kwelph mahakama ni muhimili wa dola ambao ndio una wajibu mkubwa wa kutoa haki kwa jamii.. najiuliza mahakama itatekelezaje wajibu huo wakati yenyewe haipo huru? uwepo wake unategemea serikali...
Mmiliki wa ardhi ya Tanzania anapaswa kuwa mtanzania. Sasa kuna mkenya kanunua ardhi kwa wanakiji fulani akijua wazi kuwa yeye hastahili kuipata hiyo ardhi.
Pia hili la ardhi lilikataliwa hata...