Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
FAHAMU kuhusu TALAKA na taratibu zake KISHERIA.
It's me
Mr George Francis
0713736006
mr.georgefrancis21@gmail.com
TALAKA ni ruhusa au amri ya kisheria inayotolewa na Mahakama pale ambapo mume...
Deed Poll Ni nini?
Ni nyaraka ya kisheria inayotumika kubadilisha jina la mtu. Nyaraka hii hua inasainiwa na mtu ambaye anabadilisha jina pekee tofauti na nyaraka nyingine za kisheria ambazo...
Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi kati ya Juma Sylvester Mfumia dhidi ya Antony Adabu Mmasy, Rufaa ya Ardhi Namba 68 ya mwaka 2022, kesi ilisikikizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Kwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi.
Ukija kwa vizazi vya hivi...
Habari.!
Nina kitu kimoja nataka nijue kutoka kwa wenzetu wa sheria.
Kuna kiwanja kipo maeneo ya Tegeta ambacho ni cha baba yetu ambae alishafariki miaka 20 iliyopita, aliacha watoto watatu, wa...
FAHAMU kuhusu TALAKA na taratibu zake katika UISLAMU.
Sehemu Ya 1
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ)
As-salāmu alaikum wa-rahmatullahi wabarakātuh.
Peace be upon you as...
Habari wanajukwaa,
Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja...
Habari wote,
kazi yetu ni kutengeneza mifumo ya Computer.
Kwa sasa nawaletea mfumo ambao unasimamia na kurekodi maswala yote ya mikataba pamoja na kesi.
Kwa makampuni ambayo yanakua na mikataba...
Naomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi.
Marehemu aliacha nyumba moja ambayo sisi warithi wote 6 tulikuwa tunaishi humo kasoro tu...
Yawezekana nikaoneoana mjinga ila nipo sahihi kabisa maana hata nchi za wazungu ukimnyanyasa mtu kimapenzi unafunguliwa mashtaka kumnyanyasa mtu kujinsia
Nikiri huu usafiri wa Mwendokasi ni mara...
Jinsi ya kusajili kampuni, nyaraka zinazotakiwa, gharama za usajili, vigezo na mambo ya kuzingatia kabla na baada ya kusajili kampuni nchini Tanzania
(Procedures for the registration of...
Habari!
Sijui sheria zetu zimekaaje ila naomba niseme hili.
Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchini kumeibuka wimbi kubwa la video zenye maudhui yasiyofaa zikisambaa mitandaoni huku vijana wa...
Habari , Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni x kwamuda wa miaka 2 ambayo nimetimiza tarehe 31 /12/2024 Kwani nilianza kazi tarehe 31/12/2022. Tarehe hiyo yakutimiza miaka miwili ilipofika nikiwa...
Wakuu nina mwanangu ambaye nilizaa na mke wa kwanza ambaye tumeachana miaka sita iliyopita.
Na hivi sasa mtoto ameshafikisha umri wa miaka 8, nahitaji kumchukua mwanangu nikae naye. Naomba msaada...
Kuna mtu aliniazima pesa kiasi cha laki tano nikaelewana nae nitamlipa laki sita lakini mambo hayakuwa sawa nikamuomba kumlipa kidogo kidogo na tuliandikiana kwa karatasi tu kishikai sisi wenyewe...
JAN24
Nilikujia na post moja ya kuomba ushauri kwenye kesi za mirathi ya vijana fulani mtaani.
Kuna vijana fulani walifiwa na wazazi, sasa baba yao mdogo akawa msimamizi. Katika hilo, akagoma...