Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Hey, habari zenu wanaJF? Jina langu ni Gabriel, nipo Dar, na nafanya kazi kwa shirika la kienyeji, na tunatengeneza mradi wa kuwatetea wafungwa wa kike, hasa hasa wafungwa wajawazito na watoto...
Hey, habari zenu wanaJF? Jina langu ni Gabriel, nipo Dar, na nafanya kazi kwa shirika la kienyeji, na tunatengeneza mradi wa kuwatetea wafungwa wa kike, hasa hasa wafungwa wajawazito na watoto...
Wapenzi wa sheria,
Napenda kujua kama kuna kikundi chochote nchini ambacho tunaweza kukiita ThinkTank katika mambo ya Sheria. Nadhani kuwepo kwa kikundi kama hicho kungesaidia sana katika mambo...
JESHI la Polisi nchini limesema kuwa hakuna sheria inayokataza raia kumiliki pingu licha ya jeshi hilo kuwa na mwongozo wa utaratibu wa matumizi ya vifaa hivyo kwa askari wake. Aidha jeshi...
The United Nations General Assembly passed a non-binding resolution on Wednesday, declaring access to clean water and proper sanitation as a fundamental human right.
While 122 nations voted...
Kampala
The constitutional court has declared the practice of female genital mutilation unconstitutional and against human rights.
Five judges led by the deputy chief justice Leticia Kikonyogo...
To the apartheid regime in South Africa, Bram Fischer was a traitor. He was born in 1908 into a powerful Afrikaner family. His grandfather, Oupa Abraham, had been the first (and only) prime...
Wanajamvi hivi hii kesi status yake ikoje. Nimepoteza kummbukumbu.
Ilikuwa ni kesi ya kugushi nyaraka za manunuzi ya jengo la ofisi za ubalozi wa tanzania italy.Aliyekuwa Balozi Prof Mahalu...
Sikiliza mwenyewe habari hii
Hivi inagharimu kiasi gani kwa waandishi wa Tanzania nao kuanza tabia ya kufuatilia mambo kwa undani
kama hawa jamaa zetu..??
Katika kuwalinda wasichana dhidi ya KUDANGANYIKA na KUHARIBU NDOTO ZA MAISHA YAO... kuna matangazo kadhaa yanatoka kwenye redio na TV kuhusu "FATAKI".Hivi ndugu zanguni, pamoja na nia njema kabisa...
hello pipo....kuna mtu anaweza kunipa mwanga hizo successes and failures of labour law in bridging the gap between an employer and an employee in Tanzania terms of rights and liabilities of both...
Jamani naomba muongozo juu ya sheria ya umiliki wa kiwanja inasemaje?
Kuna kiwanja nimenunua Arusha alieniuzia ni mtoto wa mwisho katika hiyo familia ambaye baba mzazi wao alishafariki na...
Wana JF naombeni msaada wenu ili sheria ifuate mkondo wake:
Hapa job kwangu nina rafiki yangu amenielezea tatizo lililo mpata kaka yake ni hivi: Kaka anabinti yake ambaye anasoma form IV lakini...
Nina maswali mengi juu ya hukumu iliyotolewa na mahakama ya rufaa juu ya rufaa ya serikali kwenye kesi ya mgombea binafsi;
1.Hukumu ina defects maana hakuna mahala kulipoonyesha appeal allowed au...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, amevitaka vyombo vya dola kuwahoji...
habari wana jf,
kuna rafiki yangu ameomba nimuulizie ili swali.
1. Yeye ameolewa kwa ndoa ya bomani mume wake ni mwiisilam, wana watoto wawili. Tangu waishi na mumewe takribani miaka mitatu...
Zuhura Mmari na Grace Ndossa
OFISI Ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) imewata watu wanaochapisha, kusambaza kuuza na kugawa katiba za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 toleo la 2008...
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM SCHOOL LF LAW
(FORMERLY FACULTY OF LAW)
STAFF SEMINAR ON THE COURT OF APPEAL DECISION IN
HON ATTORNEY GENERAL v. REVEREND...