Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Katika thread moja iliyofungwa hivi karibuni, kumetokea discussion nzuri na nzito juu ya the law of defamation. Kwa sababu hiyo thread imefungwa, ningependa tuje tuzungumzie hii sheria hapa, na...
Bilal Abdul-Aziz
Prime Minister Mizengo Pinda yesterday informed the National Assembly that new legislation on separating business and politics, as directed by President Jakaya Kikwete will be...
Sam Lawino & Moses Akena
Gulu
Police detectives and residents of Gulu District were on Friday treated to drama when the district state attorney attempted in vain to chew and swallow money he had...
Kwenye nchi za wenzetu, it is true that a person is innocent until proven guilty, kwenye nchi zetu it is the opposite. Ni lini tutafika? Kwa nchi kama marekani mtu hawezi kukamatwa akawekwa ndani...
Msaada kwenye tuta,
Mimi nimekuwa katika ajira na mwajiri wangu mpya yapata mwaka sasa. Katika mkataba wa ajira, tulikubaliana mambo kadha wa kadha (mbali na mshahara), ni pamoja na marupurupu...
comrades
mmeona news ya leo usiku channel 10?
kuna mtanzania mwenzangu alingolewa jino na unprofessional mwenzetu
ambaye ni m tz miezi mingi iliyopita, kilichotokea ndugu amevumilia pain
kwa...
UPANDE wa utetezi katika kesi ya wizi wa Sh1.8 bilioni kwenye Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA) inayomkabili Rajabu Maranda na ndugu yake, Farijala Hussein, umedai kuwa washtakiwa hao...
Nchi ya Kenya imepitisha sheria ya kutokutoa sauti au kupiga kelele isiyozidi umbali wa 30km, itakayoanza kutumika baada ya miezi sita ijayo.
Mpaka sasa makonda wa matatu, wenye kumbi za disko...
Toa mchango wako jinsi unavyoifahamu sheria ya ndoa ya Tanzania na utendaji wake?
Dondoo
at which grounds ndoa itavunjwa na mgawanyo wa mali uko vipi.
je mali zinazokuwa zimeandikwa katika jina...
Waziri wa sheria akiri kasoro katika katika kesi za madai
Na Exuper Kachenje
WAZIRI wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe, amesema serikali inaangalia uwezekano wa kuondoa utaratibu wa...
Serikali inaanda rasimu ya sheria ya kudhitibi umuliki wa vyombo vya habari. Katika mapendekezo ya awali ya sheria hii yanalenga kuzuia mtu (au taasisi?) mmoja kutomiliki zaidi ya chombo kimoja...
Wabunge waache kuendekeza vitendo vya uvunjaji wa sheria
Na Mhariri
29th May 2009
Jana vyombo kadha vya habari, viliripoti habari zikiwanukuu baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Fedha na Uchumi...
Wadau wa habari wayakataa mapendekezo ya sera mpya ya habari Tanzania
WADAU wa sekta ya habari nchini jana walikataa mapendekezo ya sera mpya ya habari na kuunda kamati itakayokusanya maoni...
Mjeshi aliyemchapa Trafiki,anyea debe!
Jeshi letu la Wannanchi (JWTZ), limenasa na kumtupa lupango Koplo Steven Sagana, kwa kuhusika na kosa la kuongoza kichapo kwa askari wa Usalama...
Naomba kujua kama naweza kumfungulia mtu mashtaka kwa niaba ya NCHI/JAMHURI.
Nasema hivyo baada ya kuchoshwa na ngonjera za serikali,kuwa ushahidi haujakamilika kumfikisha mtuhumiwa mahakamani
Ndugu,
Idara ya habari inaandaa mabadiriko ya sera ya utangazaji. Sera inapendekeza kikomo cha umiliki wa vyombo vya habbari. Ukimiliki kituo cha kurusha matangazo ya radio, basi ni radio tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.