Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Who is visiting "Ze Utamu"? Athari za Utandawazi na haki za Utamaduni wa mtanzania
Kuna hii web site inayosumbua akili za watanzania wengi sana nimeamua kuitumia kuelezea suala la usimamizi wa...
Move to remove law that bars Catholics from marrying into British royal family
Robert Winnett, TELEGRAPH,
London
March 27, 2009
BRITISH Prime Minister Gordon Brown has opened talks with...
The government has established a number of Regulatory authorities among others includes: EWURA,SUMATRA,TACRA,TFDA etc.etc... . I am flabagasted by the way they operate! It is understood that...
Although Tanzania expects to have a new mining law adopted before June, the nation's Energy & Mines Minister William Ngeleja said it will not significantly affect existing mining operations...
Kuna jambo linanitatiza kwa muda sasa, nimefikiria sana jibu lake silipati. Nimeona niliweke hapa mbele yenu muweze kunisaidia. Mtu anapoamua kugombea ubunge anakuwa na kazi yake anayoifanya labda...
Kwa mtindo huu, mimi nimeshajikatia tamaa wazalendo wenzangu!!!! Tunafinga point watu wachache kumbe jamii nzima imeoza....
origina document should be this
Kwa hisani ya Habari Leo
Joseph...
Wasalaam,
Natumaini unakumbuka vizuri sana kuhusiana na suala ulilowahi kuuliza hapo nyuma kuhusu sheria inayohusiana na masuala ya pornography. Napenda kukujulisha ya kwamba sheria Namba 6 ya...
Jana wakati Rais Kikwete akiwa anazindua komandi ya kikosi cha ardhini cha jeshi letu JWTZ aliutangazia umma kuwa ameamua kuongeza muda wa kustaafu kwa wanajeshi eti kutoka miaka 57 hadi miaka 60...
Anybody have more detail on this. What information will now be available that was previously classified?
Law to enhance right to information on the way, says government
2009-03-07 11:44:42...
When it comes to harmonisation of laws in the region, mojawapo wa swala linalo jadiliwa sana ni la ardhi.
Leo mimi nina swali
Je itakuwa kosa kutakiwa mtu kumuomba ruksa mke/mume na...
As it is well mentioned in The Tanzania Constitution 1977 that "Every person has a right to live and to the protection of his life by the society in accordance with the law".Then as I come to read...
wadau kuna siku nilikuwa kwenye gari ndogo barabara ya Shekilango, kuna dala dala lilikuwa mbele yetu (Ubungo - msasani) Ghafla lilisimama katikati ya barabara na brake light hazifanyi kazi...
Wakuu wa JF
Is there any posibilities of having legal department here at JF? Kiwe kitengo cha kuzungumzia Sheria mbalimbali ili tuweze kuleta Mawakili, Majaji Mbalimbali kwenye forum hii ya JF...
Na Mpoki Bukuku
MKAZI wa Manzese Uzuri, jijini Dar es Salaam, amenusurika kufa baada ya kupigiliwa na misumari kwenye msalaba na wananchi wanaodaiwa kuwa na hasira, kwa tuhuma za kuiba baiskeli...
Jamani naombeni kupata ufafanuzi kuhusu sheria za usalama barabarani, JE TRAFIKI ASIPOWEKA PLATE NAMBA KWA GARI YAKE NI HALALIHii naiona sana hapa Arusha kwa Police traffic mmoja anayeitwa Hemedi...
Nimejaribu kutafuta kwa haraka sheria inayokataza pornography katika Tanzania. Najua ipo mahali fulani. Sijui kama ni ile ya utangazaji au ya magazeti au ya ndoa au SOSPA n.k Kama kuna mtu naomba...
Halima Mdee, Msemaji wa kambi ya upinzani bungeni wizara ya sheria na katiba leo ameuchambua mswada wa mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni. Mbunge huyo ameeleza wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.