Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
kutoka hapa
Wash. state has first death under new suicide law - Yahoo! News
Demokrasia gani hii?
OLYMPIA, Wash. A 66-year-old woman with terminal cancer has become the first person to die...
Habari zetu wana JF;
Naombeni msaada wenu katika suala zima la sheria za jinai.
Ninasikia kwamba sheria huwa zinabadilishwa kutokana na sababu moja ama nyingine. Kwamba kitendo fulani huenda...
Ijumaa ya tarehe 15 wiki hii, ilikuwa ni siku mbaya kwa wafanyakazi wa ZAIN TZ kwani ilishuhudiwa wafanyakazi 25 wakipewa barua za kuachishwa kazi kwa stahili ya kudhalilishwa.
Wafanyakazi hao 25...
Kukatika na kurudi kwa kasi kwa umeme kumesababisha fridge na jiko tulilonalo liungue. Nifanyeje kuwa shitaki kwa ajili ya kutulipa fidia hawa Tanesco?! Inauma sana kuona hivi vifaa vinaharibika...
EAC Presidents pose for a photograph. Tanzania is seeking reputable local and international consultancy firms to identify key legal areas for harmonisation of the national ID management system...
Nimepata taarifa rasmi kutoka kwa source yangu ndani ya LST kampasi ya DUCE kusitishwa kwa masomo pale kampasi ya DUCE kutokana na mgomo ulioanza wiki mbili zilizopita. Taarifa zinasema kwamba...
SerikaliI inatarajia kuandaa muswada wa sheria kwa lengo la kuwahakikishia hifadhi na usalama zaidi watu wenye ulemavu nchini wakiwamo maalbino.
Kwa sasa iko katika mchakato huo ambao baada ya...
Washington DC city council has voted to recognise same-sex marriages conducted in other US states.
Because Washington DC is not a state, the decision will now have to be approved by Congress...
Mpaka sasa wananchi wameweza kuona ni kwa jinsi gani matatizo yanayoikumba nchi yetu yanazidi kuongeza licha ya kuwepo sheria, vyombo na taasisi mbalimbali za kisheria zenye nguvu na mamlaka ya...
Kama msichana umeolewa na mwanaume ambaye tayari umemkuta na vitu vyake, I mean may be umemkuta na mali kama Nyumba, magari na vitu kama hivyo, na kila kitu kipo kwenye jina lake. je kwa kisheria...
Assalaam Alleikhum wana JF,
Nakuombeni, yeyote anayejua chuo chochote na kutoka popote, kinachotambulika hapa TZ na kinatoa diploma au/na degree za sheria kwa njia ya correspondence/distance...
Watawala wasioheshimu utawala wa sheria, wanatawalaje?
Mwandishi Wetu Aprili 29, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
KUNA kila dalili kuwa watawala wetu wana tatizo la kuheshimu...
EU judges want Sharia law applied in British courts
By Daily Mail Reporter
Last updated at 8:01 AM on 27th April 2009
Controversial: An EU plan is calling for family courts across Europe to...
Ndugu wananchi; nahisi sasa hii nchi inaelekea sipo;na kama raisi anashindwa kuwasimamia hawa anaowaajiri basi wananchi imefika saaa ya kuamka na kufanya yale tunayoyaitaji
Hivi karibuni...
Muswada wa Sheria ya DNA wapitishwa
Thursday, April 23, 2009 11:53 AM
BUNGE la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imepitisha muswada wa sheria ya kusimamia matumizi ya Teknolojia ya DNA ya...
Issue: with technology taking its path in our daily lives, can Bakwata grant a divorce based on the text message?
Saudi man divorces wife by text message
Thu Apr 9, 10:19 am ET
RIYADH...
Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka ameongezewa shitaka la kumtishia kumpiga kwa bastola Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Arusha, James Ole Millya.
Shitaka hili liliongezwa...
Mara nyingi nimekuwa nikiona kwenye 'traffic jam' madreva wa magari ya jeshi la polisi au JWTZ wakiwasha 'emergency lights' na kutanua na halafu wakishapita magari mengine yanawafuata nyuma na...
Ndugu zangu wenye upeo mkubwa kwenye mambo ya kisheria, naomba mawazo yenu kwenye hii scenario hapa chini:
Hapo zamani la kale baba yako kabla ya kufariki analikujulisha kwamba anashare kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.