Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari za saa hizi Ndg zangu! Polen na majukumu,
Samahani Sana Tena naombeni ushauri tu kwa anayeweza kunishauri.
Nlipanga nyumba mwaka Jana mwezi wa 11 nikalipa kod ya miez 2 Mana niliomba...
Kuna mama aliolewa na mume wake kwa ndoa ya kanisa katoliki,wakazaa na mumewe watoto wawili, then mume wake akamuacha kwao (kwa kina mwanaume) mume alipomaliza chuo hakurudi kumchukua mkewe...
hili suala kisheria likoje kwa mama mjane na watoto zake kugawna mirathi ambayo mume wake amefariki. kisheria hili suala likoje na lina fanywaje katika masuala mazima ya mgawo,mfano mume alikua na...
Kwa anaefahamu atujuze, hivi ni kwanini majaji wa mahakama hapa Tanzania hawaruhisiwi kujichanganya sana? Maana huwezi kuskia Majaji wanahudhuria sherehe, Misiba nk!?
Khabari za mchana wanandugu wote humu ndani. Napenda kushare nanyi jambo moja ambalo linanitatiza sana na sijapata bado sijalipatia suluhisho kabisa
Jambo lenyewe ni kuwa nna jamaa yangu alikuwa...
Gazeti la Mwananchi katika toleo lake la Septemba 7, ukurasa wa mbele kabisa wametumia picha ya jaji Elinaza Luvanda katika habari yao ya 'Mwelekeo Mpya Kesi ya Mbowe'.
Inafahamika kwamba picha...
Wanajukwaa naomba ufafanuzi wa kitalaamu kwa wenye ufahamu kabla sijaenda TUME YA USULUHISHI WA AJIRA.
Niliajiriwa na kampuni moja hapa Dar nikapewa mkataba nitafanya hiyo kazi kama miezi 10...
Habarini
Sihitaji kuwachosha
Wajuvi wa sheria tunaomba majibu ya maswali kadhaa yatokanayo mwenendo mzima wa kesi ya ugaidi inayomkabili MBOWE na wenzake ambao tayari walishafungwa
Kuna watu 3...
Hivi ikitokea umemfumania mke wako akiwa na mtu mwingine unaweza kumshitaki Mahakamani mtuhumiwa kwa kutembea na mke wako wakati mke wako anajijua ni mke wa mtu?
Hivi kesi ikienda Mahakamani hapo...
Salamu sana wanabodi wote,
Mi ni mama nina watoto wanne, mmoja kati yao ni msichana.
Kabla ya maisha haya nilikuwa kwenye ndoa ambayo tumetengana tena bila talaka kwa miaka zaidi ya kumi sana...
Mwanamke na mwanaume walianza kuishi pamoja kama mke na mume toka mwaka 2007 kama mke na mume na wakapata mtoto mmoja wakiwa kwenye Nyumba ya kupata.
Ilipofika mwaka 2015 wakabahatika kujenga...
Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini...
Habari wakuu.
Hii tabia ya Jesh la police kumkamata mtu na kumtangaza hadharan kwa uma kwamba ni mkosaji, mfano ni Jambaz, Gaidi, mwizi n.k. Na uma wote tukajua hivyo..
Ikidhibika mahakaman...
Historia kwa ufupi.
Mzee wangu alioa mke wa kwanza na alikuwa amejenga nyumba kubwa na ndogo na akabahatika kuzaa nae watoto wanne wote wakiume (04).
Baada ya hapo waliaachana na mama yangu...
Habari wakuu,
Naomba mwenye publication yeyote inayohusu hiyo historia naomba msaada nimevutiwa kuyafahamu kiundani matukio haya.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati
Mdogo wangu amejikusanya na kununua kauwanja anakotaka kujenga nyumba ya kuishi ajabu wakati mafundi wanachimba msingi wamekutana na bomba kubwa la maji hali ambayo hatukuitarajia!
Wadau tunaomba...
Habari Wanajamvi?
Nilivyosikia majina ya Sabaya , IGP Siro nikasema lazima Mawakili wa utetezi have a strategy in play.
Obvious Sabaya na Siro wata- turn hostile. Kwa maana nyingine ushahidi...