Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba kuelimishwa kwa Sheria zetu za mtandao zinahusu Mtanzania yeyote aliepo popote au lazima awe anaishi Tanzania?
Ukitukana mtu Instagram sheria inasemaje Kama uko Tanzania? Kama uko nje...
Wakuu naomba kuuliza hili swali?
Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine? Ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama wanajitegemea
Iko hivi...
Ninahitaji kuwa na mtu/ binti atakayesaidia shughuli ndogondogo kama vile usafi , kutumwa posta na kwingineko .
Atakuwa anakuja asubuhi muda wa kufungua ofisi na anaondoka muda anaomaliza...
Jamani wanasheria naombeni ushauri Mimi nilikuwa na mwanamke ambaye alikuwa mchumba wangu , na tulisha chumbiana mpaka kumvalisha Pete na mipango ya harusi ikaanza Sasa Basi akiwe yeye yupo katika...
Hili ndilo biti walopigwa wabunge na Spika Ndugai. Akawatahadharisha kuwa watapoteza nafasi zao za uwakilishi kama wangekataa bajeti inayoruhusu uwepo wa tozo za kihuni.
Je, hekima gani ilitumika...
Kheri ya mwaka mpya na mafanikio mema ndugu zangu watanzania, kwa kuanza mwaka huu nimeona niwaletee makala hii ya shauri la MADAI maana mashauri ya MADAI ni moja ya mashauri yanayoongoza kuwa na...
Wakuu Habari za muda huo wako unaposoma hii
Ningependa kufahamishwa sheria na utaratibu wa kumiliki silaha kwa nchi ya Tanzania umekaeje kwa sasa ? Kwa mwenye uelewa wa hili, naomba maelezo...
Kaka yangu anayeishi Tabora yuko kwenye ndoa kwa miaka 10 sasa!
Mwaka jana alifanikiwa kuongeza biashara zake!Tatizo linaloisumbua familia ni kuwa kila kipato kilipokuwa kikiongezeka na tabia ya...
Wengi wetu siku hizi tunahifadh pesa ktk mitandao ya simu au ktk mabenki tena muda mwingine unakuta hifadhi hiyo inakuwa ya siri hata familia na marafiki hawajui.
Hili kisheria linakuaje...
Nawasilimu wote!
Wana Jf nimepitia mijadala ,Maoni na uzi mbalimbali zinazohusu Katiba ya URT ya mwaka 1977 humu ndani na nimeguswa kusema kitu.
Nafahamu Katiba husika ina mapungufu mbalimbali...
Kuna dogo lilikuwa na cm ya rafiki yake likapigiwa simuna matapeli wa mtandao kuwa katume pesa kwa wakala mwambie kaka ndo kanituma na hyo wakala tunafamiana, nae akatuma kumuomba dogo hela hana...
Wanasheria naomba kujua Endapo Askari Polisi Atampiga Risasi Raia Asiye na Kosa na Kumuua.
Je, Askari huyo Atachukuliwa Hatua za Kisheria?
Je, Ndugu wa Marehemu?
Wana Fidia yoyote Watalipwa kwa...
Suala langu lipo CMA na mwisho wa mashauri yapo mwishoni mwa mwezi huu. Kwani nilichelewa kufungua madai kwa sababu nilipata ajaili iliyopelekea kuchelewa kufungua madai.
Na katika kufungua madai...
Na Dustan Shekidele, Morogoro
KWELI kuelekea mwisho wa dunia, mengi yataonekana. Mtu unawezaje kumpiga shoka mama yako mzazi, aliyekutunza tumboni mwake kwa miezi tisa, akakunyonyesha, kukusomesha...
Salaam wakuu!
Rejea tena kichwa cha bandiko. Sio kama yamenikuta, la hasha. Nataka kujifunza tu, itaweza kuwafaa wengine pia.
Tafiti zinaonesha ongezeko la talaka baina ya wanandoa, hivyo basi...
Mimi ni afisa wa serikali wilaya x nililipa pesa mbichi kwa watumishi 3 baada ya kukusanya Mapato ya minada ya mifugo wilaya x jumla y fedha tsh.2,500,000/:
Ninadaiwa kwenye poss machine yangu...