Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habarini Wana Jamvi,
Binafsi ninasikitishwa sana na watoa huduma mbalimbali pamoja na wauzaji wa bidhaa mbalimbali kuhusu upandishaji wa Bei za huduma na vitu kiholela na bila taarifa, unajikuta...
Kwa mfano mimi bwana X kama nilifungua shauri la mgogoro wa shamba No. 2/2016 dhidi ya bw Y katika baraza la ardhi na nyumba la kata ya Ibisabageni wilaya ya Sengerema nikashindwa kesi lakini...
Wanasheria hebu tusaidiane hapa.
Mfano binti alipata divisheni 3 mwaka 2018 na akawa mtaani sasa kapata mimba, yeye anasema bado ni mwanafunzi anasubiri kwenda form 5.
Je, hii ni kesi ya kumpa...
Salam wadau,
Nataka kufahamu hatua za kuchukua ukiona hakimu hatendi haki au anachelewesha hukumu kwa makusudi (kutoa ruling ya shauri mahakamani). Kuna hatua zozote za kufata au kureport au ndo...
Wakuu mniwie radhi kwa uandishi mbovu,
Mwaka 2013 huko nilinunua viwanja vitatu, kimoja karibu na mji viwili nje kidogo ya mji,..kwenye hiki kiwanja Cha karibu nikajenga nyumba na ikafika wenye...
Wasalaam, naomba kujuzwa haki za mtumishi wa Serikali ambaye amefukuzwa kazi huku akiwa na Malimbikizo ya Mshahara ambayo hakulipwa. Je utaratibu ni upi?
Na kipindi aliposimamishwa alikuwa...
Wapendwa naomba kujua kosa linaloweza mtia hatiani kijana huyu, kijana wangu wa kazi amempa mimba binti wa jirani, ndugu wamempeleka Dawati la jinsia na kumpeleka Polisi, wakidai kosa ni kukataa...
Wakuu salaam kwenu!
Naomba kujua Sheria inasemaje ikiwa Mme katika familia anataka kuuza Mali za familia pasipokushirikisha familia yake na familia haijaafiki uuzwaji wa Mali hizo!
Tatizo lipo...
Kama kichwa cha habari kinavyouliza
Je, Wanafunzi kwa Wanafunzi Wakipeana Mimba je kwa upande wa Sheria upoje Maana kuna Mwanafunzi wa Darasa la Tano kapewa Mimba na Mwanafunzi wa Form Four huko...
Ndiyo mahakama inayoongoza kukatisha tamaa, siyo kwa kutotoa haki, hapana.
Court of Appeal ni mabingwa wa kutoa haki. Tabu yao ni kwamba ukiwa na kesi pale lazima uhesabu miaka miwili ndipo...
Kuna tetesi kwamba baba Daimond, Mzee Abdul kaenda kustaki Daimond Mahakamani akidai fidia na kuzalilishwa. Hivi anaweza kulipwa? Na kama ikitokea akilipwa, inatakiwa alipwee mahela ya kutoshaa...
Wakuu,
Naomba Kufahamishwa;
Mosi,Iwapo Afisa fulani au mtu Fulani kutoka nchi yoyote ile mwanachama wa Mahakama ya kimataifa(ICC) iliyopo The Hague,Uholanzi ameshtakiwa na inatakiwa kufika...
Mwaka 2016...mzee mmoja aitwae STIVIN anayeishi mkoa wa RUVUMA wilaya ya mbinga Dc aligongwa na gari kampuni ya SUPERFEO inayofanya safari za Mbinga to Dodoma hadi kupelekea kupoteza miguu yake...
Kama viongozi wa umma waliowatandika watu viboko hadharani wanadhani suala hilo limeisha au kusahaulika, bila shaka watakuwa wanajidanganya.
Hii ni baada ya suala hilo kuibuka juzi wakati wa...
Wananchi mimi ni mtanzania mwema shida yangu ilikuwa nili apply kufungua mirathi ya marehemu baba yangu akiwa amefariki kisutu ILALA nika elezwa kuwa niende mahakama ya Kinyerezi nikaenda baada ya...
Wadau mliopo kazini ambao bado mna imani na fedha za mafao mnazokatwa hali si nzuri.Mimi nimeshuhudia baadhi ya watu walioonyesha nia ya kuchukua mafao yao lakini kumekuwa na kuzungushwa sana na...