Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari,
Niende direct kwenye point nahitaji msaada wa kisheria katika makabidhiano ya bidhaa kwa wasambazaji wangu, hivi natakiwa nifanye nini ama nichukue hatua gani kabla ya kufanya...
Naomba ufafanuzi, Mfano mtu alinunua kiwanja ambacho kimejengwa nyumba baadaye anakuja kaka wa muuzaji na kusema apewe percent kwani alihusika katika vifaa baadhi vya ujenzi kama milango na tofali...
Kuna kazi ya kampuni flani ya mkoani tunafanya so nahitaji kua na wanasheria ili kuweza kutimiza baadhi ya majukumu yetu
0693959469
info@fmzixun.co.tz
Ofisi ipo mtaa wa Mapambano14, Kishapu...
Wadau nilitaka kufahamu kuhusu sheria ya michango ya uanachama wa PSSSF.. kuna ndugu yangu alikua anafanya kazi katika sekta ya umma.
Bahati mbaya akapata majanga akafukuzwa kazi. Je, anaweza...
Habari za wakati huu,
Naombeni mnisaidie ni taratibu zipi zinafuatwa wakati wa kufatilia suala zima la mirathi( yaani niende ofisi gani na gani).
Natanguliza shukrani.
Habari zenu humu ndani. Jamani mimi naomba msaada wa kujua general specification za sheria za ujenzi.
Aidha nipewe ufafanuzi au nirushiwe document kama pdf iliyosheheni sheria za ujenzi.
Miongoni...
Wanasheria wetu naomba kufahamu iwapo ni sahihi kwa huyo Mwanasheria wa Halmashauri kumsimamia mtu anayetaka alipwe fidia na Halmashauri ya huyo Mwanasheria.
Habari wanajukwaa samahani naomba mbisaidie kuna ndugu yangu alienda kuomba mkopo Bank akapeleka nyaraka zake za kazini, yaani mkataba wa ajira pamoja na salary slips.
Sasa Bank ikaanza...
Wasomi naomba kuelimishwa.
Kisheria, hasa sheria ya fedha imekaaje? Je, kuna kiwango elekezi cha riba ambacho mkopeshaji anatakiwa asivuke? Na je, Kila mtu anaweza akaanzisha utaratibu wa...
Ndoa ni mkataba,
Kwanini tunaingia mkataba kwa mkuu wa wilaya na si mahakamani? Nchi nyingi nimeona ndoa ya kiserikali inafungwa mahakamani. Kwanini iko hivyo?
Habari ya usiku viongozi? Samahani, naomba kujua utaratibu kisheria uko vp kwa mwanaume aliyeachana na mwanamke huku wakiwa wamezaa wore. I mean sheria inasemaje kuhusu matunzo and specifically...
Ndugu wana Jf Mimi ni kijana wa miaka 26 nilioa binti mmoja miaka 3 iliyopita tukabahatika kupata mtoto mmoja.
Maisha yetu yakaleta mgogoro mkubwa mwaka mzima sasa.
Nikaamua kumuacha, nilipokuwa...
Katika jamii yetu ya Tanzania mpaka Sasa inakadiriwa watu wengine waishio mijini wanaishi katika nyumba za kupanga ,Hilo moja lkn kumewa na migogoro mingi Kati ya wamiliki (wapangishaji) na...
Heri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria...
Kuna mfanyakazi wa kampuni fulani aliwekwa kikao lengo ni kumpa Verbal Warning kwa misconducts alizo fanya.
Kwa maelezo yaliyo toka kwa HR ni kwamba Ili kuweka mambo sawa kwa upande wa HR...
Habari zenu watalaamu na wadau wa sheria. Naomba kujua kama mtu akifikishwa mahakamani kwa kudaiwa fedha ya mkopo na mtu binafsi, atatakiwa kuandaa wadhamini wa kumdhamini akiwa mahakamani?