Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari za majukumu wana JF!
naomba msaada wa kisheria nini hasa cha kufanya.
Jana mida ya saa tano asubuhi, nilipokea sms kutoka vodacom ikiniambia kwamba kuna jambo kubwa sana la kisoka...
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki?
Kwa wale ambao tunafanya Final wiki ijato, ninaomba kama inawezekana tukutane hapa na tujadiliane kwa maswali mbalimbali na majibu. Kama kuna yeyote ana...
Habari zenu wakuu..!
Mimi nimenunua kiwanja lakini hicho kiwanja kina mambo ya mirathi..Lakini kila kitu tumeweka sawa mahakani.
Tatizo kubwa lipo kwenye kubadirisha jina kutoka kwa muuzaji kuja...
Wakuu salama,
Iko hivi kuna kigrosari jirani kabisa na home jioni baada ya heka heka za kutwa nzima huwa napenda kwenda hapo napiga zangu maji kidogo kisha naenda zangu kujipumzisha.
Sasa basi...
Sheria yetu ya ndoa kila kukicha inazidi kupitwa na wakati na teknoligia. Hebu tutizame mifano ifuatayo inayoonyesha mapungufu ninayoongelea.
1. Kumekuwa na ongezeko la watu wenye ndoa kufunga...
Ndugu wa JF nimatumaini yangu kuwa wote amjambo.
Twende katika Mada,
Nachotaka kufahamu katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,ni vifungu vipi umtia hatiani mtu aliyevunja/Kukiuka katiba ya...
Niliajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni moja ya fedha . Hata hivyo nililipwa pesa ya mafunzo na nauli pekee nikitarajia kulipwa malipo ya kusafirisha mizigo na kujikimu lakini...
Habari wataalam,
Kuna sehemu nimeomba mkopo ila katika kipengele cha dhamana (Collateral) nina hati ya kiwanja kupitia serikali ya kijiji, wahusika wamenambia ili waikubali niipeleke kwa...
Hello,
Naomba kujua taratibu za kufuata ili kupata certificate of proof of charitable organization kwa taasisi za kidini zisizofanya biashara.
Natanguliza shukurani
Habari wanaJF,
Naomba kama mtu anaweza kunipa mwanga kwamba endapo mashahidi wa wosia wa maandishi ni wawili na wote ni watu wa ukoo ila si wanufaika wa mali za marehemu kama wosia utakuwa halali...
MKATABA WA KUPANGA FREMU NAMBA……. BLOCK…………………………….
MANISPAA YA
Mkataba huu umefanyika BAINA ya…………………………………………wa Sanduku la Posta……………………Morogoro ambaye katika mkataba huu ataitwa MWENYE...
Habari Wana JF,
Adhabu inasemaje kwa mtu ambaye amekamatwa na baadhi ya vitu vya wizi. Je, anatakiwa kulipa vyote au kurudisha hivyo alivyo kamatwa navyo?
Kisa kipo hivi, kuna mtuhumiwa...
Wakuu nawasilimu.
Samahani na poleni kwa majukumu, naomba niende kwenye point. Kuna mzee wangu alikuwa na mwanamke aliyeishi naye kinyumba(Kama wapenzi) tangu 2009 bila ya kufunga ndoa (alitoa...
Ni muda Wa miaka mitatu sasa umepita tangu tukutane na huyu binti yaani mwaka 2017 akiwa Single mother yaani ameisha zalishwa mtoto mmoja. Tukabebana hapa sokoni bila kwenda kwao tukayajenga...
Wanabodi kuuliza si ujinga nataka kupata kufahamu tu. Najua kuna Mihimili mitatu kwa Maana ya Bunge , Mahakama na Serikali.
Na naambiwa mihimili hii ina Nguvu sawa na kujitegemea.
Nimeona...
Kwa kuanza tu ni kwamba, msimamizi wa mirathi ni mtu yeyote aliyeteuliwa na marehemu kwenye wosia kuwa msimamizi wa mirathi baada ya kifo cha Marehemu, au mtu yeyeto aliyeteuliwa katika kikao cha...
Wakuu najaribu kujiuliza sana,hivi ikitokea mkuu wa nchi yeyote duniani akigundulika sio raia wa nchi husika nini kinaweza tokea?
Maana wapo maraisi wengine huko duniani hufurahi wanapoona...
Mama amefungwa Gerezani miaka kadhaa akiwa na mimba au akiwa na mtoto mchanga wa siku moja.
Je, mama akifungwa si itakuwa mtoto naye atakuwa kifungoni wakati hana kosa? Mtoto akikua ana haki ya...