Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari za muda huu wanasheria,
Niende moja kwa moja kwenye mada, niko na mdogo wangu hapa tunahitaj kujuzwa kutokana na kisa chenyewe kilivyo, kiko hivi
Mwaka 2012 alimaliza masomo kwenye moja...
Habari?
Nauliza hivo kwa sababu nimekuwa nikisikia hizi kauli kutoka kwa wanaume "kama unaondoka nenda lakini usiondoke na MTOTO WANGU" .
Ina maana nyie wanaume ndio wamiliki wa mtoto...
Wakuu, wasalaam.
Malengo ya uzi:
1. Kusoma na kujifunza toka kwenye maamuzi mbalimbali ya Mahakama.
2. Kushiriki kuibua mijadala ya kifikra kuhusu tafsiri mbali mbali za Sheria zilizotolewa...
Wakuu!
Naomba nijifunze hapa na wenzangu, maisha ya kila siku yanaongozwa na sheria. Iwe ni sheria za asili, au hizi sheria za kikatiba.
Ni kawaida kusikia familia fulani, acha kampuni, ina...
NAOMBA MSAADA WA KISHERIA
Niliishi na dada mmoja lakini tuliachana na akaondoka na ujauzito wangu wa wiki 2 na kuniambia hata nisikae nikafikiria kuhusu hiyo mimba sababu anaenda kuitoa hawezi...
Kwa ninavyojua Mimi ni kwamba kama ukiwa na Usafiri wako na ukaenda Ofisi fulani au katika Duka fulani (hasa hizi Supermarkets) mbalimbali na bila Kusahau na Mahotelini basi Mwenye Dhamana na...
Tarehe 26/3/1992 marehemu babu yangu alimuuzia *M* sehemu ya ardhi HEKARI 6 katika eneo lake la shamba lake.
*M* alipima eneo alilouziwa na kuweza kumiliki kisheria mnamo mwaka 1996 na kupata...
ISLAMIC LAWS OF WILLS
Basic Shares of the Most Common Heirs
What you see below are the basic shares of your most common heirs. In these examples, you have been considered as the deceased and the...
Huyu Mzee bhana haishi kunitishia mara tu baada ya kusikia naishi na binti yake. Binti yake anasoma Chuo Diploma mwaka wa pili. Kiumri tayari ameshaover 18+ lakini mzee wake anakaza anataka...
Wakati mwingine tumechanganya makosa yanayoshitakika ICC tukidhani ICC inashughulikia makosa yote. tumetengeneza tafsiri hii kwa ajili ya raia wa kawaida kabisa, ili watu tukisome na kujiepusha na...
File la kesi baada ya kukamilika kwa upelelezi huchukua muda gani kufanyiwa kazi linapofika katika ofisi za DPP (Sasa ziko Dodoma). Maana upelelezi unachukua mwaka mmoja vipi huko mbele je...
Jaji Mkuu wa Tanzania aliyewekwa kwenye uangalizi kabla ya kuwa confirmed baada ya mwaka mzima, yaani kwa mara ya kwanza duniani kusikia kitu kinaitwa "kaimu jaji mkuu" Mhe. Prof. Ibrahim Hamis...
Ndugu watanzania wenzangu hapa nilipo nipo kwenye mtihani mgumu sana wa kimaisha nashindwa nini cha kuamua, kiufupi nipo kwenye dilema.
Ki ufupi nimeishi na mke wangu karibu miaka 10 na...
Habar wanajf naomba kujua namna ya kujibu maswali ya law case kama hili niliotuma hapa, nijue vitu vya kuzingatia walat wa kujibu na hua yanajibiwa kwa utaratibu ganii, naamini nitapata majibu...
Wadau kama nilivyoandika, kaka yangu alifariki mwezi wa tano mwaka huu. Sasa mjane ndio ameteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi baada ya kikao cha familia. Utaratibu ukoje ili aanze kutumia akaunti...
Habari za asubuhi wana jukwaa la sheria,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu. Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja wa miaka 23, nilifanikiwa kwenda kwao kujitambulisha na nikawa kwenye...
Mfano: Benard Membe au Tundu Lissu akiwa mgombea wa chama B na katikati ya muda wa kampeni kwa mfano mwezi wa kumi tarehe za mwanzo akaamua kuunga juhudi. Je, sheria ya uchaguzi inatamka nini...
Napendekeza Kutungwe Sheria Kali sana nchini Tanzania ya ama Kuwalipisha Faini au kuwapa Adhabu ya Kusafisha Vyoo vya Jiji au Barabara Wanawake wote wanaogundulika Kutupa hovyo Taulo zao za Kike...