Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Naombeni msaada kwa anayejua tofauti ya hizi fomu mbili. Je zina tumika zote kwa pamoja? na ni wakati gani wa uthamini?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ndugu wanajukwaa naomba ushauri wa kisheria,mimi na rafiki yangu tulianzisha kampuni/bussiness,ya electrical work,share ni 50/50% kila mmoja,lakini tulitumia vyeti vyangu vya technical. Tuna...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba kujua utaratibu wa kuhamisha kesi toka primary court kwenda district court. Nahitaji before tomorrow. Niko kijijini na sina msaada wa haraka kufika kwa advocate.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Scenario: Case No 1. (Madai ya nyongeza-Mshahara) Situation: Mimi kama kiongozi wa idara pia (Makamu mkuu wa idara), nilipokea malalamiko ya vijana kuhusu kuongezewa mishahara, hii issue ilianza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ninawaheshimu sana kwa kujua sheria na kutoa hukumu za haki kukiacha akina Lugakingira and team. 1. Catherine Oriyo 2. Mlay
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Ili mkataba wa pango nyumba/ chumba au frem uwe unakubalika kisheria ni lazima usainiwe na wakili/ mwanasheria? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu mimi nilitapeliwa kiasi cha sh laki 9 na rafiki yangu kwa kivuli cha mchezo feki kesi ikaenda mahakamani baada ya kushindwa kumalizana kifamilia akafungulia shtaka la kujipatia pesa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je, jukumu la kumtunza/kumlisha mtu aliye rumande ya Polisi ni nani? Ni polisi, ndugu au walalamikaji? Ukiweka sheria na kifungu husika itapendeza zaidi. NB: Hapa namaanisha mtu aliye rumande...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Utakuta imetokea ajali ya gari na mwendesha pikipiki au chombo chochote cha Moto na katika ajali hiyo chukulia imesababishwa na marehemu kutokana na mchoro wa trafic lakini Mimi dereva ambaye...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni fundi magari, na kuna mteja wangu aliniletea kazi miaka mitatu iliyopita na kunitelekezea gereji, cha ajabu alipokuja gereji na nikampa bili ya matengenezo pamoja na ulinZi kwa kipindi...
0 Reactions
4 Replies
914 Views
Kumekua na mvutano wa muda mrefu kati ya wanazuoni juu ya uhalali wa sheria za kimataifa kuitwa ama “Sheria za kimataifa” au ni “Kanuni za kimataifa.” Mvutano huu ni wakihoja ambao haujawahi kua...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Yaani tuchukulie mtuhumiwa wa ujambazi amekamatwa na Polisi, halafu wakati anawapeleka mafichoni kwa wenzake akaanza kuwakimbia Polisi huku akiwa hana silaha yoyote na akipiga makelele. Je, kuna...
2 Reactions
80 Replies
7K Views
Naomba kupata ufafanuzi wa yafuatayo, Nina kaka yangu ana mke wa ndoa na wameshaishi na mke wake kwa miaka 30. Huyu bwana anafanya katika taasisi moja ya fedha mjini Mwanza. Bwana huyu ana mwezi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sheria ya Microfinance na kanuni zake inasemaje kuhusu vikundi vya watu kuweka fedha na kukopeshana yaani VICOBA(sio SACCOS)? Je,VICOBA vinatakiwa kusajiliwa? Na je,vinapaswa kulipa kodi? Kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimepitia judgements/ rulings nyingi kwa kiasi fulani, kuna kitu kimenishangaza! Judgements/ rulings ni page 2,3,4 . Mh! hukumu page 2! Nyingi ziko katika range hiyo. Nalinganisha na za wenzao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi naomba kufahamu juu ya hii case yangu nitaweza kusolve vipi, nilipata kazi kwenye kampuni fulani inaendeshwa na wahindi lakini ni zaidi ya miaka miwili sijapatiwa mkataba wa kudumu na hata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kufahamu Sheria zinazotumika kwa Taasisi ndogo za mikopo kama FINCA, Fanikiwa, SEDA, nk. Hizi taasisi zimekuwa zikishika vitu vya watu vya ndani bila hata ruhusa ya Mahakama. Navyojua mimi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa kisheria. Nimeajiriwa kampuni moja private. Baada ya kufanya kazi muda mrefu bila kupewa mkataba, sasa juzi nikaletewa mkataba lakini sikuuelewa kwa sababu upo tofauti na...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Leo nimesoma gazeti la HabariLeo, limeandika 'MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi ametoa wito kwa Jeshi la Magereza Iringa kuruhusu wafungwa wake kuchimba mitaro ya miradi ya maji inayosimamiwa na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Yaani kwa mfano mfungwa ambae kashahukumiwa kifungo labda cha miaka kadhaa akiwa huku huko gerezani labda akafanya kosa kubwa tena zaidi ya lililomfunga je hukumu yake inaongezwa akiwa huko huko...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…