Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
habarini,
Ni mara nyingi sana nimekuwa nikisikia kauli tajwa hapo juu wakati wa kesi mahakamani naomba kufahamishwa.
Nini maana yake?
Ni katika mazingira gani anaruhusiwa kufanya hivyo?
Je...
Wapendwa habari za Jumamosi.
Naomba kuleta hoja hii kwenu nikihitaji msaada wa ufafanuzi.
Kuna ndugu yangu ambaye anafanya kazi kampuni fulani. Sasa kutokana na mwenendo mbovu wa kampuni, na...
Kama nimezaliwa Tanzania, baba yangu ni Mtanzania na mama si Mtanzania, anaishi kwa dependant pass, je mimi ni raia au si raia? Juzi nimekamatwa na Uhamiaj kuwa sijaapa kukana uraia wa mama.
Habari za kazi wapendwa,
Kuna jamaa mmoja aliniuzia kiwanja mwaka jana mwezi julai ambapo makubaliano yalikuwa nimlipe awamu mbili ambapo awamu ya kwanza nilimlipa nusu na awamu ya pili nusu yake...
NA MWANASHERIA WETU
Mara nyingi nimekuwa nikiandika kuhusu masuala muhimu kuhusu ardhi hasa namna ya kuandika mikataba mtu anapokuwa ananunua nyumba/kiwanja, hadhi ya mikataba hiyo kisheria, na...
Naombeni msaada wa Kisheria.
Jamani niliibiwa vitu vyangu. hatimaye wezi wamekamatwa na baadhi ya vitu walvyoviiba walikutwa navyo.
Sasa unaenda mwezi wa tatu sijarudishiwa vitu vyangu naambiwa...
Wanabodi,
Nimekutana na maswali mengi kuhusu tukio hili la waasi waliopo Darfur pamoja na serikali ya Sudan kutaka kumkabidhi Rais wa Zamani wa Sudan Omary AL bashiri kwa mahakama ya kimataifa ya...
Kuna utafiti/ andiko nataka kufanya kuhusiana na sheria za mabenki hasa hasa katika realisation ya securities. Naomba mwenye vitabu au kesi zozote tuwasiliane hapa.
Natanguliza shukrani.
Sent...
Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu namba 225 (4) inasema Upelelezi usipokamilika ndani ya siku 60 mshatakiwa kuachiwa huru. Hiki ni kitu ambacho hakitekelezwi ipasavyo na mahakama na...
Nimemuwekea mtu dhamana mahakamani
Mwaka 2017. Mtuhumiwa akawa anaudhuria mahamamani. Vizuri tu .lakini mwishoni mwa mwaka Jana mtuhumiwa akakata mawasilianao na mimi na mahakamani akawa haendi...
Habari za maisha wote mtakaopitia hapa. Ninahitaji msaada kuhusiana na mkopo nilioufanya katika moja ya benki hapa nchini.
Mie ni mwajiriwa katika manispaa ya Lindi mwaka wa sita sasa, tangu...
Awali ya yote nawasalimu wapendwa wa jf,
mwaka 2004 nilifanya kesi na mtu ambaye tulikuwa tunagombea shamba,mwaka 2006 baraza la kata aridhi lilinipa ushindi kuwa nile ni shamba langu halali na...
Salaam kwenu wana JF na hasa jukwaa hili la sheria,
Naombeni msaada wa tafsiri ya kuitwa mahakamani kupitia gazeti. Je, Kama kesi ina dhamana (madai), siku hiyo akifika na wadhamini wake wakiwa...
Dar es Salaam. Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Rugemeleza Nshala amesema ili Tanzania ifanikiwe kwenye uwekezaji ni muhimu kuhakikisha kuna utengamano wa kisheria na mfumo wa haki...
Unakutana na Polisi kila wakati, na unawaona wakifanya kazi nyingi, kama vile kuongoza magari, kuwalinda viongozi, kudhibiti makundi ya watu, kusindikiza watuhumiwa Mahakamani, kufanya upelelezi...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba ushauri wa kisheria. Ninafanya kazi kampuni binafsi. hawa wanaoitwa wawekezaji.
Mwaka 2018, miezi kama 18 iliyopita nilipandishwa cheo.Cha ajabu nimeendelea kulipwa...
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambayo fertility rate iko juu sana. Kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2012 kila familia ilikisiwa kuwa na average ya watoto 5.
Takwimu za kiuchumi mara nyingi zimeonya...
Naangalia gazeti la leo likisema Mkurugenzi aagiza polisi kumkamata Meya, Waziri aagiza waliohujumu Miundombinu kukamatwa. Hizo ni amri zingine ni majukwaani. Waziri aagiza mkandarasi akamatwe...