Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nahitaji kitabu hiki cha sheria, nakipata wapi nipo Dar.
Kitabu ni: Dr. Fauz Twaib, Legal Profession in Tanzania the Law and Practice, 2018
Call me 0713924581
Sent using Jamii Forums mobile app
Salam,
Naitwa Noel na nimekuwa mdau mkubwa sana kwwnye jukwaa hili la sheria na nimeona ushauri mzuri unaotolewa na wanasheria waliomo kwenye jukwaa.
Niende kwenye mada husika hapo juu nilikodi...
Wanasheria naombeni msaada je mgambo aliyepewa kulinda mtuhumiwa lock up na baadaye mkute hakuna mtuhumiwa na hakujavunjwa na funguo zote anazo,.Mgambo huyo akipelekwa mahakamani anastahili adhabu...
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu.
Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa...
Habari wanajf,
Kwa wale wajuzi wa mambo ya sheria msaada wenu hapa.
Nikiwa barabarani mara kadhaa trafk akinikamata huwa nashangaa maana utakuta mi najijua labda nimefanya kosa moja, lkn trafk...
Wana JF habari za muda huu.
Nina shida na wakili anisaidie katika ishu yangu ya madai.
Kama unamfahamu Wakili mzuri naomba niunganishe ikiwezekana nipate mawasiliano yake.
Sent using Jamii...
Tulikupongeza sana kwa move ya kutetea watu wasiibiwe na mitandao ya simu maana ni wezi wakubwa kupitiliza. Ukasema una maongezi nao. Ukaleta mrejesho wa kwanza kuwa wamekuita mnaongea lkn bado...
Habarini wanasheria,nina pikipiki zangu nlikua nataka niwape madereva kwa mkataba,kwamba wanipe 10k kwa siku then baada ya mwaka mmoja nawaachia pikipiki.
Sasa naomba kujuzwa jinsi ya kuuandaa...
Habari wadau,imekuwepo zogo hapa nilipo kijiji kinataka kutengeneza barabara jee wananchi wana waki walipwe au iweje kwa mujibu wa sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu wakuu ninaomba msaada wa kutaka kujua sheria inasemaje endapo shahidi atataka ,kudhamiria kuharibu au kukwepa ushahidi wa kesi Fulani.
Kama nikimpeleka mtu mahakamani na...
Habari za leo wana Jukwaa la sheria, jamani naombeni msaada wa kesi ambazo zina reflect constitution supremacy in Tanzania kuanzia mwaka 2000 hadi 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji msaada wa kisheria au kwa mwenye uzoefu wa masuala ya kudai, au ushauri nipate wapi taasisi inayojihusisha na masuala ya madai.
Kwa anayeweza na mwenye uzoefu kisheria nahitaji msaada...
Nimekuwa nikisikia na kuona watu wenye dhamana kubwa wakiwaamuru polisi wawakamate na kuwaweka ndani watu ambao hawakimbii, hawaleti fujo na wala hawatishii usalama wa watu wengine. Wanaagiza watu...
Ndugu wana JamiiForums, nina kesi ya madai ambapo upande wa pili una wakili na upande wangu nilimuweka wakili akala hela akaingia mtini.
Tulipewa muda wa kupeleka majibu ya hoja zilizokuwa...
Habari ndugu zangu,
Kwanza kabisa nitoe shukrani zangu za dhati kwa wanasheria wote mliopo humu jukwaani. Kwa kifupi nilipata elimu humu jinsi ya kumpata mtoto wangu toka kwa mama yake baada ya...
Urithi ni kitu chochote mtu anachokipokea kutoka kwa marehemu hasa pale panapokuwa na mahusiano ya kindugu au kinasaba baina ya mrithi na marehemu.
Ardhi ni mojawapo ya mali ambayo inaweza...
Naomba msaada wa kisheria kuhusu kuajiri mhasibu asiye na CPA iwapo mna bajeti inayovuka bilioni moja kwa mwaka. Kama ni kosa, ni kwa kifungi kipi cha sheria ipi?
Mjadala ulikuwa kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli (TASAC) na Mawakala kutoka sekta binafsi.
Kitu kilichonivutia kwenye mjadala huu ni baada ya mawakala kutoka sekta binafsi kutoa...
Wakuu, natambua moja ya mawasiliano ni hii mitandao ya kijamii ambayo imetengenezwa kuwasiliana mtu zaidi ya mmoja tena kwa muda huo huo.
'Whatsapp' ni mojawapo ya mitandao hiyo, ninachowaomba...