Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Sheria ni elimu muhimu sana kwa kila mtu kuijua kwa sababu mbalimbali ambazo ukishakuwa mtu mzima huhitaji kuelezwa sana, maana utakuwa ushakutana na mkono wa sheria katika mapito ya maisha, au...
Ndugu wana jf poleni na majukumu ya kila siku.
Mimi Igirimo naomba kuelimishwa. Ni kweli kuwa mkuu wa gereza ana mamlaka ya kumuachia mtu aliyehukumiwa kifungo fulani kwa vigezo atakapitia yeye...
Kuhusu Rais kutoshitakiwa, muda sio mrefu kesi aliyoifungua Edo Shaibu akisimamiwa na wakili Fatuma Karume dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh. John Pombe Joseph Magufuli imegonga...
Ninahitaji nakala kuanzia 50, ziwe hardcover, zimeunganishwa as single book na zenye Uzi wa separator. Kama unazo au unajua nitazipata wapi tafadhali nijulishe.
Nipo morogoro.
Government printers...
Wadau nawasalimu nyote.
Mimi ni mdau wa Sheria. Nimekuwa nafuatilia sana Shule hii ya Masuala ya Sheria "LAW SCHOOL". Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wanaomaliza mafunzo yao ya sheria katika...
Visa na Vikasa ya Kesi Maarufu Duniani na Hukumu Zake ni mwanzo wa vitabu nitakavyokuwa nikivitoa kwa awamu ambapo vitabu hivyo vitakuwa na mkusanyiko wa kesi mbalimbali zilizowahi kutokea katika...
Habarini wana jamvi.
Ningependa kujua haki za kisheria za mwanachama wa mfuko wa jamii baada kufikia ukomo wa mkataba wake wa kazi na kukuta kampuni husika haikuwa ikipeleka mafao kwa zaidi ya...
Kuna eneo ambalo mwanzo tulikuwa tunalima kama shamba,hivi karibuni imeingizwa kwenye mpango wa viwanja vya mji.nilimfuata afisa ardhi anipimie viwanja eneo hilo akanijibu c lazima anipimie...
VIOLET ISHENGOMA KAHANGWA AND JOVIN MUTABUZI v THE ADMINISTRATOR GENERAL AND MRS. EUDOKIA KAHANGWA ( ) [1990] TZCA 13; (16 July 1990); 1990 TLR 72 (TZCA)
Jamani holding katika case hii bado...
Sina maana ya kutotambua wanasheria wasomi wengine ila nampongeza sana Dragoo kwa mchango wake wa kuanzia uzi maarufu sana hapa jukwaa la sheria wenye maneno "Legal documents na uchambuzi wa...
Habari wakuu..
Naomba kufahamishwa, anayekutwa na kosa la kusajili kwenye vyuo vikuu cheti feki adhabu yake inakuwaje?
Na anaweza kuweka wakili kutokana na aina ya kesi ilivyo? Na kama...
BACKGROUND.
(HISTORIA YA BABU YANGU {X} MJOMBA WA BABU {Y} NA BABA YANGU {Z})
Babu yangu {X} alikuwa na nyumba mbili, moja upande wa Singida( Mkalama) na nyingine upande wa Manyara. Makao hasa...
wakuu nilikua naomba ufafanuzi juu ya swala hili 'mimi nataka nije kusomea sheria lakini kuna mtu kaniambia kama ukisomea sheria kazi lazima ujitafutie na sio kuajiliwa na serikali' je' kuna...
Jeee kwa sheria hio ama nyengine ya Utumishi mtu kutumia muda wake nje ya kazi (mda wa ziada) pia anatakiwa kuomba ruhusa na asipoomba ruhusa na akasoma kwa kujilipia takua hana haki ya kufanyiwa...
Habari za saiz, poleni na majukumu.
Bila kupoteza wakati uzi wangu unahusiana na swala zima la madai ya mtoto mimi ni baba wa mtoto mmoja nilifunga ndoa yangu mwezi 5 mwaka huu lakini chaajabu...
Hivi ni vitu vidogo katika legal drafting, kukosea vitu vidogo kama hivyo, inaonyesha kutokuwa makini kwa kiwango kinachotarajiwa. This is a very sensitive case, one mistake three goals! One would...
Kwenu wajuzi wa haya mambo msaada kwenye tuta tafadhali.
Kwa mfano kesi ya Tundu Lisu Spika Ndugai ameshinda nini?
Ni hayo kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama
cc: Pascal Mayalla, Petro E Mselewa
Jamani kutumia muda wa ziada ambao ni nje ya kazi ama ukajiendeleza kimasomo kwa week end na ukawa unajilipia mwenyewe bila ya kumtarifu muajiri wako.
jee hili ni kosa?
na jeee ukipeleka vyeti...