Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nina assets ambazo nimepata nikiwa sijaoa (single) kama ifuatavyo
Nyumba , mashamba , Mifugo pamoja na duka la pembejeo
Ninachoitaji
(a) Namna ya kumiliki assets hizi kisheria ili nitakapooa...
Mtumishi wa kada ya ualimu ngazi ya sekondari ameingiziwa fedha kiasi cha milioni moja kwenye akaunti yake ,baada ya kuingiziwa fedha anaambiwa ahamie kituo kingine wanasheria hebu leteni tafsiri...
Kama alivyoshangaa Mh.Jaji Mkuu wa Tanzania hata mimi nashangaa.
Japo sina utalaamu mkubwa wa Mambo ya Sheria lakini kwa elimu yangu ndogo hakika hao Majaji hawakustahili kufanya hivyo lakini...
Habar ya asubuhi wanasheria wa jukwaa hili. Nipo hapa kuomba orodha ya phrases mbali mbali zinazotumika katika sheria. Itakuwa ni vema ukiweka katika lugha ya english na tafsiri yake katika lugha...
Nahitaji vyumba viwili kimoja kiwe master maeneo ya kigambo maeneo ya mji mwema, kisiwani, vijibweni, mbuyuni n.k bajeti yangu ni 150000 mpaka 200000 kiwe maeneo mazuri kuwe na maji na umeme
Watu wengi wamenunua viwanja/nyumba lakini mali hizo zimeendelea kubaki katika majina ya waliowauzia. Wapo ambao imepita hata miaka kumi tangu wanunue maeneo lakini bado hawajabadili...
Wakuu habari za muda huu,
Hapo nyuma niliomba msaada wa kisheria hapa kwenu, nashukuru nilifanikiwa kwa michango yenu, tuliajiriwa kwenye taasisi moja. Wakati tunaanza ajira hatukupewa mkataba...
Habari ya mda huu wadau. Mm ni mfanyakazi katika kampuni moja hapa dar es salaam. Kampuni ninayofanya kazi inafungwa si kwa sababu imefilisika ila ni kutokana na garama za uendeshaji na kodi kua...
Habari ya mda huu wadau. Mm ni mfanyakazi katika kampuni moja hapa dar es salaam. Kampuni ninayofanya kazi inafungwa si kwa sababu imefilisika ila ni kutokana na garama za uendeshaji na kodi kua...
Naomben msaada Luna mdogo wangu Leo amekamatwa na not I bandia ya shilingi elfu 10 yy anadai alipewa malipo ya kaz kama laki moja ndpo alipopewa hyo pesa. Je sheria gan itatumika ili aweze kuwa...
Kwa wale madereva na watumiaji wote wa barabara, karibuni hapa tujadili kuhusu changamoto mbalimbali ambazo tunakutana nazo tuwapo barabarani na kuzipatia ufumbuzi. na kama una swali liweke hapa!
HAKUNA sheria inayotoa haki kwa watoto wanaozaliwa nje ya ndoa, Bunge limeelezwa leo.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema, amekiri bungeni kuwa ni kweli watoto wanaozaliwa nje ya...
Utasikia, Mhe tutakuwa na mashahidi kumi, na pp anawataja kwa majina na hakimu anawaorodhesha.
Je, hao mashahidi wote ni lazima waje kutoa ushahidi au wanaweza kuletwa hata watatu? lakini pia je...
Habari za Jumapili wapendwa
Hivi kunapotokea mgogoro baina ya wanandoa ambapo katika hiyo migogoro mke hapigwi wala hajatishiwa maisha,,baba mzaz wa mwanamke anaruhusiwa kwa utaratibu wa sheria...
Hili tatizo limemkuta kaka yangu alikua mwajiriwa wa kampuni fulani hapa jijini Dar es salaam ila kwa sasa hayupo kazini mkataba wake umeisha na amesha maliza taratibu zote za kufuatilia pesa zake...