Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu...
12 Reactions
3K Replies
259K Views
Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19. Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam...
27 Reactions
190 Replies
6K Views
Habari JF, JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine, kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu...
27 Reactions
152 Replies
6K Views
Huyu waziri wetu wa afya huyu 🤣🤣 Hahaha nimeishia tu kumpenda aisee. She is special.
18 Reactions
114 Replies
11K Views
Na WAMJW- DSM Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Mabula Mchembe amewataka Wananchi kupuuza taarifa zinazozagaa kupitia mitandao ya kijamii juu ya uwepo...
8 Reactions
148 Replies
15K Views
Wanabodi, Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!. Msikilize Waziri Gwajima Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani...
28 Reactions
115 Replies
12K Views
MUHTASARI Mlipuko wa Covid-19 unasambaa ukiambatana na taarifa nyingi zisizo sahihi au za kupotosha. Taarifa hizi zinatengenezwa, ama kwa watu kukosa uelewa sahihi wa jambo wanalolizungumzia au...
50 Reactions
127 Replies
22K Views
Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona. Wapo wanaowaaminisha watu...
18 Reactions
150 Replies
18K Views
Gwajima leo nimemfatilia nimegundua hapa hakuna mtafiti ni utopolo na ujinga na sifa mdio vinamsumbua Ibada nzima ilikua ni sifa kwa Rais samia tu, means ameshashtuka kuona ibada ilivyopita...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Sijawahi kuanzisha uzi hapa lakini baada ya kusikiliza clip ya Gwajima jana nilikereka sana na uongo wake. Hakuna Shirika linaitwa emergency drug authorization USA kuna FDA Food and Drug...
15 Reactions
24 Replies
3K Views
Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip). Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Chanjo kama chanjo Nimekaa na kuleta uzii huu ili tuelezane yaliopo kwenye nafsi zetu kuhusiana na hizi chanjo! Kwa wasiofahamu! Utengenezaji na research ya Chanjo ya covid 19 haina mdaa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Gazeti la the Guardian la jana tarehe 28 Februari, limeandika kwa kirefu kuhusiana na janga la Covid 19 nchini mwetu Tanzania. Kwa ufupi, kutokana na mahojiano yaliyofanyika na madaktari na...
16 Reactions
76 Replies
7K Views
Katika hili sitakuwa mnafiki kama nitapongeza sekta ya afya.Sitakuwa mnafiki kama nitampongeza mama kwa kuupiga mwingi. Leo kuna taarifa inasambaa mitandaoni kuwa Taasisi ya utafiti ya maswala ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimeugua Covid 19, nikatibiwa na kupona (Jina la Bwana lihimidiwe). Kuugua kwangu kumenisaidia kujifunza mengi, na kubaini uongo mwingi wanaoambiwa watu wetu ili kuwapooza, badala ya kufanya...
58 Reactions
226 Replies
25K Views
Labda itakuwa ni siri ya ile dawa iliyotufikia kutokea Madagascar: Ila si Uganda: Serikali ya Tanzania na magonjwa ya changamoto Wala Kenya: New wave of Covid-19 and influenza hit Kisumu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5. Hiyo ni baada ya...
28 Reactions
250 Replies
22K Views
Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved? The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on...
3 Reactions
175 Replies
11K Views
Nchi za Afrika Mashariki zinakabiliwa na hifadhi kubwa ya chanjo za Covid-19 zinazokaribia kuisha muda wake ambazo ilizinunua kwa nguvu kubwa kama yalivyofanya mataifa ya Ulaya kwa ajili ya raia...
0 Reactions
5 Replies
743 Views
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na...
60 Reactions
2K Replies
145K Views
Back
Top Bottom