Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Tundu Antiphas Lissu amesifu zoezi zima la upigaji kura lilivyoenda muda mfupi baada ya kupiga kura majira ya Saa 8 na nusu...
6 Reactions
73 Replies
6K Views
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo. Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge...
98 Reactions
5K Replies
642K Views
Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Taarifa ya...
12 Reactions
78 Replies
10K Views
1.Alizaliwa tarehe 01/09/1985, Rungwe Mbeya ELIMU 1. Digrii ya Kwanza ya Sheria 2007-2011 UDSM 2. Digrii ya Pili ya Sheria 2012-2014 UDSM 3. Mafunzo ya Uwakili 2015-2016 L'ST UZOEFU WA KAZI NA...
4 Reactions
92 Replies
12K Views
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa "Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa...
65 Reactions
240 Replies
29K Views
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Jumamosi, Julai 11, 2020 jijini Dodoma, Wajumbe 1,846 wanatarajiwa kushiriki. Mkutano huo unongozwa na...
16 Reactions
390 Replies
34K Views
Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020...
11 Reactions
221 Replies
24K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwasasa Jimbo la Uvinza amejibu hoja zilizotolewa jana na Mgombea kiti cha Urais wa JM !- LISSU APANGULIWA HOJA 7 KWA MIKWAJU 7 YA TAKWIMU NA KAFULILA...
68 Reactions
269 Replies
24K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli...
82 Reactions
583 Replies
74K Views
Takribani miaka 60 sasa Watanzania hususani tabaka tawaliwa, tumeishi kwenye ufukara uliotopea. Wakati huo tabaka tawala wakijineemesha kupitia msamiati uzalendo. Miaka 60 ya uhuru bado tunapewa...
21 Reactions
50 Replies
4K Views
MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali...
20 Reactions
223 Replies
24K Views
Hii ni dhahiri Mbowe hana mpango wa kuachia madaraka hivi karibuni. Amesema Majenerali hawaondoki katikati ya vita mpaka wanafia vitani. Pia Amesema upinzani hakuna watu wa kujitolea wala maono ya...
0 Reactions
14 Replies
515 Views
Now that Tundu Lissu has made some progress in his convalescence, it is of no surprise that he has decided to get back into the fray. He has done several interviews with both foreign and domestic...
47 Reactions
268 Replies
19K Views
Mgombea Urais wa Tanzania jwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu alikutana na waandishi wa habari jijini Arusha na kuelezea msimamo wake kuhusu vitendo vya ushoga nchini. Katika majibu yake kwa...
10 Reactions
36 Replies
7K Views
Chadema kama cha Kikuu cha Upinzania Tanzania kimeiva na kiko tayari kuongoza nchi, Umma kwa asasa unakiamini, na hata wafanyamaamuzi kwa sasa wanakiamini chama hiki. Kisiasa Chama cha siasa...
19 Reactions
62 Replies
6K Views
Twende taratibu, Leo baada ya kukamilisha zoezi la kampeni kwa muda wa miezi miwili, naomba nitoe upembuzi wa kiutafiti kwanini Tundu Lissu atamshinda kwa mbali John Magufuli. Iwe kwa tume hiihii...
45 Reactions
84 Replies
8K Views
Ndugu wana bodi. Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa...
14 Reactions
364 Replies
34K Views
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu...
110 Reactions
421 Replies
44K Views
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe kumtelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo. Sumaye amesema hayo...
8 Reactions
129 Replies
10K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo...
186 Reactions
688 Replies
63K Views
Back
Top Bottom