Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1
Kwa matokeo hayo je...
Haijawahi tokea, kwanini walio gombea ubunge au udiwani wakibaini msimamizi wa tume au tume ya uchaguzi imetangaza matokeo tofauti na waliyopewa kwenye chumba cha kuhesabia kura wasiwashtaki hawa...
Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini chini ya uongozi wa Rais Magufuli, kuna baadhi ya Watu hasa wanasiasa wa upinzani wanadhani serikali hii haifai na Rais aliyepo hamudu hiyo nafasi
.
.
Swali ni...
Tumechoka kudhalilishwa,vijembe na dhihaka,LISSU anatufaa Tanzania na ndio mkombozi wa kweli,zanziba FATUMA KARUME AU MAALIM SEIF chagueni.
Hii ni taarifa rasmi na endelevu.Kama ccm wanataka...
Wakuu,
Kama ni kiki kapata sioni mbadala zaidi yake kwa vyama vya upinzani.Ili kuwa wazalendo CUF,Chadema,Act wamsimamishe Zitto kugombea uraisi 2020.
Zitto ni mtaalamu wa siasa za akalipso...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole amefunguka na kusema Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe mwaka 2020 atafute kazi nyingine ya kufanya kwa sababu...
Nimesikia kauli za hatari katika harakati za kampeni za urais zinazotumiwa na Mh Tundu Lisu kwenye mikutano ya CDM. Hoja za kikabila! Oh eti JM kabila lake ni Mzinza, Msubi na siyo Msukuma kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.