Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Historia haikuwekwa wazi, kitu ambacho Nyerere alitahadharisha watu wenye misimamo mikali hawafai kuwa viongozi. Hata moja ya sababu ya kumchagua Mwinyi kumrithi ni busara na unyenyekevu wake...
7 Reactions
54 Replies
8K Views
Nimekuwa nikitafakari juu ya siasa za uchaguzi wa 2020. Kwa maoni yangu, ikiwa CCM watashinda viti vingi vya ubunge, na Dr. Tulia Ackson akashinda ubunge kule Mbeya, basi atakuwa ndio Spika badala...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nikiwa kama mwana chama halali wa CCM nitabaki kusimama kwenye kanuni ya chama inayo sema kuwa ( nitasema ukweli daima fitina kwangu ni mwiko ). Mimi siwezi kukaa ndani ya chama kwa kujipendekeza...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Tanzania set to register four million new voters for next general elections Tanzania set to register four million new voters for next general elections === CCM kupata zaidi ya kura milioni 17...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Jamaa namkubali sana ametulia naamini atatufikisha mbali sana. Kama kweli anaandaliwa na iwe kweli. Piga kazi Jafo
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wasalaam, tumebakisha takribani miaka 2 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu 2020. Naona mzee Lowassa anaendelea kufanya siasa za kistaarabu na kizalendo. Tuliona mh Lowassa akienda ikulu, alienda ktk...
7 Reactions
40 Replies
7K Views
Wakuu habari za wakati huu, Wakazi wa wilaya ya Same wanafukuto chin ikwa chini hapo mwaka 2020 ili waweze kupata kiongozi bora kama mbunge wao wa kuwaletea hamasa na mbinu za kimedani za kupata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
.
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Nilikuwa sitamani kuingia kwenye siasa ila kwa hii sera ya Zitto Kabwe inanifanya niipende tena siasa, yaani KAZI NA BATA
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nikiwa Kama mzaliwa wa Mwanza hususani Jimbo la Nyamagana niwaalike wananyamagana wenzangu tujadili 2020 ndio hii hapa inakuja huku jimbo letu haliko na mwakilishi bungeni utazani nae kaunga mkono...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndio hiyo wakuu , inasemekana Salim Chicago amekubaliana na mpango wa Polepole ambao kimsingi umo kwenye mkataba wa manunuzi ya wabunge wa upinzani ( tunakununua na tunakurudisha tena ) ...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
KAMPENI ZA UCHAGUZI 2020 Hapana Shana CCM Watamsimamisha Dr. John Pombe Magufuli na Ukawa Watamsimamisha Low assa au Lissu au Zitto Kabwe. Na hivi ndivyo watakavyoomba ridhaa ya Wananchi kwa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Muasi Mwita Mwikabwe Waitara amejiapiza kwamba ni lazima kwa gharama yoyote amtoe John Heche katika nafasi ya ubunge. Akizungumza na washirika wake kadhaa mbunge huyo aliyepachikwa ubunge wa...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Yes... Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020. He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race...
7 Reactions
98 Replies
11K Views
Rais JPM kama kawaida Makamu Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Suleman Jaffo Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Samia Suluhu Hassan Waziri Kiongozi Dkt. Hussein Mwinyi Nawasilisha.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo Tarehe 11 Oktoba 2018 kumefanyika mkutano wa wanawake wajasiliamali takribani 100 Kata ya Mzimuni Dar es salaam, na kuhudhuriwa na Bi Aziza Mohamed Ashrafi Mwenyekiti wa UWT, Sunnah Kambi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mh Ole Sendeka nakuomba sana mwaka 2020 jimbo la Simanjiro ni lako .Wewe ni mwanaccm damu huyo aliyekuwa mbunge nasikia kapanda bei eti anaomba kurudi CCM , tunachosema mwaka 2020 jimbo ni lako...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Nianze kwa kutoa pole kwa viongozi wa upinzani na wanachama, kiukweli inaumiza sana, nchi haina demokrasia tena, hakuna tume huru hakuna ahueni kwa wagombea wa upinzani, mpaka sasa kwenye...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Anaitwa Richard Ado Makupe mtoto wa marehemu Luteni wa jeshi miaka ya 1975-1978 ktk kikosi cha Lugalo Dar es salaam na baadae Kuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa Mwanza enzi za vita Hashim Ado Makupe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Toka mwanzo nilipinga CHADEMA kurudi kwenye hizi chaguzi maana kila siku CCM inakuja na mbinu mpya za kuhujumu chaguzi ila nachoshangaa kwanini toka 2015 wapinzani hawapambani kupata katiba mpya...
6 Reactions
62 Replies
6K Views
Back
Top Bottom