Nnacho kiona sasa ndani ya CCM sifa kuu za wagombea itakuwa ni kujipendekeza,unafiki,Wapika majungu,ndio mzee,waropokji na wabeba mikoba ya wakubwa.utamu wa CCM yenye watu wa kujenga hoja inakufa...
Habari zenu wana JF!
Mimi naomba wakereketwa na washabiki wa uongozi wa awamu ya tano watushawishi kwa hoja za msingi kwa nini Magufuli na CCM tuwape kura 2020!
Tunajuwa uwezo wa kujitangazia...
Habari za utafiti wa hivi karibuni toka shirika amaTaasisi ya kimataifa ya Intelijensia ya Kiuchumi/ Economist Intelligence Unit/EIU lenye makao yake makuu jijini London Uingereza, limetoa...
Makonda ndiye RC wa kwanza mwenye ushawishi mkubwa lakini mpenda maendeleo kwa wakazi wake.
Anajitoa kwa namna yoyote ile ilimradi tu atimize azma yake kwa yale anayotaka kuona yanatendeka...
Mara paap...CCM wafanye maamuzi magumu..ili kukiokoa chama...na kuwachanganya wapinzani kama mwaka 2015...
Mara paap...RAIS MSTAAFU KIKWETE KUWA MGOMBEA WA URAIS KWA MARA NYINGINE TENA...
Sijui...
Ni ngumu kuamini lakini 2020 hakuna mbunge yeyote wa upinzani atayefanikiwa kurudi bungeni ........
nasema hivyo kutokana na mazingira ya kisiasa ninayoyaona hivi sasa nchini sidhani kama 2020...
Rais wa Tanzania 2020 piga ua awe na sifa moja kubwa kusimamia katiba maana miimili yote imeipa mgogo. Ms ajili, Serekali, Polisi, bunge, mahakama na mtu mpaka Sasa anayefiti Tundu Lissu, ndiye...
Hapo vip!!
Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya...
Habari hizi nimezisikia pale mwananyamala kisiwani lilipokuwa tawi la Cuf ambalo sasa limebadilishwa na kuwa tawi la ACT wazalendo.
Sina mengi ya kusema ila naitafakari nafasi ya Tundu Antipas...
Habarini.....
Kila mmoja huwa na Ndoto katika maisha yake na hizo humfanya asilale akiwaza namna ya Kufanikisha
Nina Ndoto za Kuja Kugombea Ubunge Jimboni kwangu ndani ya Miaka 5 ijayoo! Nina...
Mambo ni mengi na muda ni kiduchu. Vibweka kila mahali mchana na usiku.
Ndugu Lowasa jana kasema hana nia ya kugombea urais tena, na hivyo tumuunge mkono Rais Magufuli mpaka mwaka 2020 kisha...
Nimetimiza mwaka tangu nimeandika katika jukwa hili. Sababu za kuachana na JF ni za kibafasi ila jukwaa si huru kwa wale wanaofanya maandiko wasiopenda wenyeJF.
Kwa kuanzia tu, wengine tumekuwa...
Baada ya Edward Lowassa kurudi CCM, na kwa jinsi siasa zilivyo kwa sasa, wanasiasa wanaoonekana kutaka kuviwakilisha vyama vya upinzani katika uchaguzi mkuu wa 2020 katika nafasi ya Urais ni...
Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.
Ni mtu mtulivu, hana...
VIMBWANGA TARAJIWA
Jinsi tunavyoukaribia uchaguzi mkuu ndivyo tutakavyo shuhudia vimbwanga. Jiandaeni kwa muvi zifuatazo:
1. Ugomvi wa kugombea bendera mtaa wa Ufipa. Zitapigwa kavu kavu baina ya...
Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.
Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu...
Kwa kila mzalendo na mpenda haki na ustawi wa taifa letu naamini ataungana na hawa viongozi wetu wakubwa mh Lissu kama rais wa nchi na mh Zitto kama waziri mkuu baada ya uchaguzi wa 2020.wakati ni...
Huyu mzee muone tu vile alivyo. Akiwa mzoefu wa siasa, mtu asiyeyumba na mwenye historia ya kukumbana na vikwazo vingi vya chama dola (CCM) amekuwa mtu wa kutokata tamaa.
Yaliyopita yamepita...
Uchaguzi mkuu wa Tanzania unatarajiwa kufanyika mwaka 2020. Hivi karibuni Tundu Lissu amenukuliwa akisema anakusudia kuomba kupeperusha bendera ya CHADEMA. Ama huko nyuma Edward Lowassa nae...
Lengo langu ni kujaribu kuangalia raslimali watu aliyonayo mheshimiwa Lissu katika kuunda serikali yake pale atakapochaguliwa kuongoza Taifa.
Tukumbuke kuwa hataongoza peke yake na lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.